Kafulila ammwagia sifa Rais Magufuli kwa uongozi bora

Kafulila ammwagia sifa Rais Magufuli kwa uongozi bora

Ukisifia unachaguliwa ila ukichaguliwa ukaacha kazi uliyochaguliwa hata usifie kwa kupga magoti utaonekana kiazi
 
Huyu jamaa amesomea nini? si atafute kazi kama sisi badala ya kuishi kwa kulamba miguu ya mwanadamu mwenzako!!
 
Sijui nani kalipia hiyo airtime? ‘Tumbili’ yupo vizuri linapokuja suala la kujipigia pasi ndefu.

Huyu anavizia teuzi, tena moja kati ya zile nafasi 5 za wanaume wa viti maalumu kutokea Magogoni
 
Ha ha ha,kafulila bana.anyway tumbo kwanza mengine yasubiri..
 
Mp
Katibu tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds tv akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani Chadema na ACT wazalendo.

Karibu.

Chanzo: Clouds TV.

Maendeleo hayana vyama!
Mpeni uteuzi jamani anahangaika sana kama kuku anayetaka kutaka .
 
Katibu tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds tv akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani Chadema na ACT wazalendo.

Karibu.

Chanzo: Clouds TV.

Maendeleo hayana vyama!
Huyu mpumbavu amekosa kazi ya kufanya kisa anajua udhaifu wa rais magufuri kuwa ukimsifia tu anakupa cheo hivyo basi ameleta hoja ya kusifu ili atunukiwe cheo pumbavu sana.
 
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo.

Karibu.

Chanzo: Clouds TV.

Maendeleo hayana vyama!
Anataka apewe mfupa
 
Hivi Kafulila amestaafu ukatibu tawala?
Hajastaafu. Alitaka kugombea Ubunge lakini kura za wajumbe hazikutosha. Maelekezo ilikuwa uchague kimoja kati ya kazi iliyokuwa nayo na Ubunge. Kwa vile alikuwa anataka vyote kwa pupa, basi akakosa vyote.
 
Na vile mkewe kakosa ubunge Singida inabidi apige mapambio sana ili akumbukwe tena!
 
Katibu Tawala mstaafu wa mkoa wa Songwe David Kafulila yuko mubashara Clouds TV akielezea mafanikio ya awamu ya 5 chini ya Rais Magufuli na makandokando ya upinzani hususani CHADEMA na ACT-Wazalendo.

Karibu.

Chanzo: Clouds TV.

Maendeleo hayana vyama
Anatafuta ajira
 
Back
Top Bottom