Kafulila ammwagia sifa Rais Magufuli kwa uongozi bora

Nami pia ninammwagia SIFA mh.Rais JPM ila sitarajii na wala kutegemea UTEUZI bali kuuza Al Kasus huku Tandale kwa Mtogole.


VIJANA WENZANGU TUCHAPE KAZI MITAANI NA MASHAMBANI.


MAENDELEO HAYANA VYAMA
 
Mh rais, huyu apumzike kidogo ulimpa cheo kikubwa akaona hakimtoshi, Sasa zamu ya wengine. Akina silinde
 
Tumbili Nyani anatafuta kuteuliwa. Nyani ngedere
 
Maisha ya kujikomba kwa mwanaume mwenzio mabaya Sana huyu kafulila anajifanyaga kuuchambua kitaalam hoja za Zitto za uchumi Sasa Kama Ni mzuri hvyo kwenye uchumi kwann asi upractical live huo uchumi anaousifiaga wa Kati aishi bila kutegemea teuzi,kafulila njoo uku field ground tuchape kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…