G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 12,505
- 40,002
Naona kwa mbali ndugu Kafulila anajutia uamuzi wa kurudi CCM. Ameona jinsi alivyopoteza.
Mwezi Oktoba angekuwa ni kunawa tu kwa hii CCM dhaifu. Angeingia mjengoni kiulainii na angeishia kuwa moja ya wabunge bora wa mwaka 2020-25
Tunawahakikishieni kuwa siri zote za CCM tunazo na ni weupe pee. Hawana jipya ndani ya chama.
Tusubiri Oktoba muone watakavyopigwa vibaya na maujinga yao. Pole sana Kafulila kwa kujiua kisiasa na kiumahiri. Ila hata huko CCM hawakuamini wanaona kama tumepeleka pandikizi letu kule. Pole sana sana.