Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kafulila: Hata Ulaya ilijengwa kwa Mikopo toka Marekani Marshall Plan si dhambi kukopa ili kujenga miradi ya maendeleo kama SGR au JNHP

Kafulila mbona umekuwa chawa pro, kikwetu kafulila maana yake kujamba
 
Marshal plan
Dah eti huyu nae msomi na kiongozi
MBONA HASEMI NAMNA MARSHAL PLAN ILIVYOWAWEKA ULAYA MAGHARIBI KWAPANI MWA MAREKANI
 
Sawa Kafulila, ila mafisadi katika Africa ni wengi, pesa ingeenda kwenye miradi na kusimamiwa ipasavyo poa. Utakuta anaesimamia nae ni fisadi!
 
Back
Top Bottom