Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Aug 29, 2024 #341 Kafulila mbona umekuwa chawa pro, kikwetu kafulila maana yake kujamba
hitler2006 JF-Expert Member Joined Sep 1, 2014 Posts 489 Reaction score 454 Aug 29, 2024 #342 Marshal plan Dah eti huyu nae msomi na kiongozi MBONA HASEMI NAMNA MARSHAL PLAN ILIVYOWAWEKA ULAYA MAGHARIBI KWAPANI MWA MAREKANI
Marshal plan Dah eti huyu nae msomi na kiongozi MBONA HASEMI NAMNA MARSHAL PLAN ILIVYOWAWEKA ULAYA MAGHARIBI KWAPANI MWA MAREKANI
U Uelekeo555 Senior Member Joined Jun 1, 2024 Posts 160 Reaction score 112 Aug 29, 2024 #343 Myangu said: Kafulila mbona umekuwa chawa pro, kikwetu kafulila maana yake kujamba Click to expand... Kikwetu ndio kinini? Uchawa upon wapi hapo?
Myangu said: Kafulila mbona umekuwa chawa pro, kikwetu kafulila maana yake kujamba Click to expand... Kikwetu ndio kinini? Uchawa upon wapi hapo?
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Aug 29, 2024 #344 Sawa Kafulila, ila mafisadi katika Africa ni wengi, pesa ingeenda kwenye miradi na kusimamiwa ipasavyo poa. Utakuta anaesimamia nae ni fisadi!
Sawa Kafulila, ila mafisadi katika Africa ni wengi, pesa ingeenda kwenye miradi na kusimamiwa ipasavyo poa. Utakuta anaesimamia nae ni fisadi!