Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

He's very right.

Ungeingia kwenye ubongo wake ungeona picha ya Mwalimu Nyerere, na ya Magufuli.

Even in our families huenda iko hivyo hivyo ila sometimes tunanyamaza tu.
 
Uwe mzalendo ili upambanie matumbo ya viongozi na watoto wao ? kama ni uzalendo wangeanza viongozi kwanza sisi tuwe wa mwisho.
 
Kafulila ni kiongozi na nusu
 
Naunga mkono kauli yake ambayo inazungumzia ukweli ambao watu wengi hawaupendi.

Sent from my ZTE T1002 using JamiiForums mobile app
 
Kaburini pia hakuna mashoga
 
Ni heri viongozi walioshia utawala wa Kikwete kuliko walioendelea walijali nyongeza ya mishahara Kwa watumishi na hawakuleta kikokoto kwa wastaff.
 
Maneno ya adili,Asante Cde Kafulila CCM Ina watu wengi wazalendo bado
 
Watu, Siasa Safi na Viongozi Bora....

Tanzania tuna watu safi kabisa (I can argue the best in the world) tuna Siasa chafu na Viongozi ambao hawatakiwi kuitwa viongozi zaidi ya wanyonyaji na makupe wasio na uchungu na taifa lao zaidi ya matumbo yao..

Kwa muktadha huo hapo juu utaona ni wapi kuna tatizo na upuuzi huu hawa watu safi (natabili kwenye generation Alpha au itakayofuatia hio) kama mambo hayatabadilika lazima watu watapigana na kitawaka sababu status quo haiwezi kuendelea
 
Kizazi cha sahv wanashindana kucheza komasava wanakata uno,kila kijana anataka kuwa content creator huko matiktok na insta
Hakuna vijana wanaozungumzia kuwa madaktari,mainjinia nk
Hii nchi mpaka 2035 huko itajaaa wajingaa tu

Ova
 
Hakuna shida yoyote kama ambavyo hakuna shida kwa mbowe kuendelea kua mwenyekiti wa chadema.kila mtu ashinde kwake.
 
He's very right.

Ungeingia kwenye ubongo wake ungeona picha ya Mwalimu Nyerere, na ya Magufuli.

Even in our families huenda iko hivyo hivyo ila sometimes tunanyamaza tu.
Jamaa anachembechembe za uzalendo
 
Kafulila Leo umenikosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…