Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo duniani

Jibu swali inakuaje asiye Kiongozi kuwa Kiongozi?
Sababu hajawa kiongozi... basi asiye Kiongozi sio Kiongozi..., Na at the moment wanaoangamiza hili taifa ni Viongozi.... huenda kwa kutumikia matumbo yao wanachofanya sio kwa niaba yao bali kwa niaba ya genge lao... Thus mpaka dakika hii kinachotumaliza ni Uongozi wa Kipuuzi na Siasa Chafu

Nini cha kufanya (Badala ya kutegemea individuals ndio walipeleke taifa kwa maamuzi yao Taasisi ndio sishike hatamu) nchi iongozwe kwa mipango na sheria na kanuni sio matakwa ya individual
 
Kwani Kwa Sasa hatuna taasisi? Si mna Vyama na taasisi za kiserikali zinazoratibu upatikanaji wa viongozi au?

Au taasisi zipi unazotaka wewe?
 
Aisee hivi mbona najirudia kama santuri mbovu...

Ngoja nirudie tena tunahitaji Watu (ambao ni wananchi na tunao sasa hivi wengi kuliko kale na kwa mtizamo wangu ni the best in the world sio wabishi); tunahitaji Siasa Safi (Siasa ni chafu za attack and defend hazina tija kwa taifa) Viongozi Bora (hawa ndio usiseme wapo hapa kuuza nchi na kushibisha matumbo yao hawa ni cancer kwa nchi) Sasa tunajua absolute power corrupts kwahio ili kuepuka mtu kutumia madaraka yake inabidi asiwe na power bali taasisi ndio ziwe na power za kuhakikisha malengo yanafikiwa (na sio individual kufanya anachotaka)

Sasa uwepo wa Taasisi kwa jina na Sio Uimara wala Utendaji ni kuongeza tu gharama zisizo na tija sababu ni mwendelezo wa maigizo....
 
Kwa hiyo umehamisha magoli kwamba unataka taasisi imara na sio viongozi Bora tena? 🤣🤣

Ukaenda mbali kwmaba unataka udikteta,udikteta ulileta Tija ya kiungozi wapi?
 
Aisee nina mashaka na uelewa wako nimekwambia hatuna viongozi bora (wakija all is well lakini hii haiondoi fact kwamba hatuna) enzi wa waasisi tulikuwa nao sababu atleast walikuwa wazalendo na walikuwa na vision ambayo ilikuwa PAN Africanism (sasa kataa vision ila altleast walikuwa na DIRA)....

Sasa hivi Viongozi ni wabovu na kizazi cha machawa ambao wanaona status quo ni sawa kwahio ili kuondoa uwezekano wa wa kuendelea kupata the same crop ambayo inadhani uongozi ni utawala ni bora kuondoa uwezekano wa ku abuse power (hence systems must be in place and such systems ni Taasisi zinazosimamia yoyote atakayekuwa pale juu kwamba afuate long terms plans ambazo wadau wameamua zifanyike)

Na hapa ndio unaonyesha hauelewi Kipi ni Bora Udikteta ambao unaonyesha na kusema kwamba ni Udikteta (kwahio hauna gharama) au udikteta ambao unafanya maigizo ya demokrasia hence kutumia gharama ya kupata kilekile ambacho kingepatikana bila gharama ?
 
Unasema mna watu Bora ila hiyo jamii ya watu Bora haiwezi kutoa viongozi Bora? Logical Paradox 😁😁😁😁
 
Aisee sababu wewe ni mtu bora kwahio automatically una quality za kuwa kiongozi ? Unajua Ubora wa Watanzania ninaoongelea ni nini ? Je qualities za Mwananchi na Kiongozi ni Sawa ? Na Uongozi ni mtu au a collective system ?

Watanzania sio wabishi ni rahisi kuwatoa kutoka point A mpaka B; wanaweza kubana mikanda na ni wasikivu..., sasa huyo mwananchi unaona kwamba ni necessarily lazima awe kiongozi bora ? alafu tofautisha neno Kiongozi na Uongozi unaweza ukawa dereva mzuri ila sababu unachoendesha ni gari bovu na wasaidizi (kondakta n.k.) wote ni wabovu na kuna utamaduni wa kuvunja sheria lazima na wewe utaingia kwenye huo mkumbo
 
How comes mwananchi Bora asitoe zao Bora za Kiongozi? Ubora wako inahusika na nini?

Kwa hiyo mwenye wajibu wa kutengeneza gari bovu ni nani?
 
What are qualities of being a Good Citizen and what are Qualities which makes good Leaders ? Na kwenye mfumo wa Uongozi ukiwa na Viongozi wazuri kwenye mfumo mbovu can it necessarily work ?

Mwananchi bora / ubora ninaoongelea hapa ni mtu ambaye sio mbishi na akiambiwa anafuata bila ubishi na mwananchi huyu hata akipata a Benevolent Dictator atafuata na kutii sasa sababu dictatorship ni mbaya sababu kesho anaweza akaja chizi ni bora tuondoe kabisa utegemezi wa watu kama wafanya maamuzi (individually) bali taasisi za kuhakikisha mambo yanakwenda kama yalivyopangwa yaende (long term plans)
Kwa hiyo mwenye wajibu wa kutengeneza gari bovu ni nani?
Kutengeneza system sio jambo la kuamka na kufanya au kuwasha switch tayari unakuwa na system bora... jambo hili ni continuation ya ulichofanya jana, leo kinaathiri kitakachotokea kesho...., kama utamaduni wa uongozi ni watu wanajiona ni watawala badala ya watumishi, wanaona ni halali yao kula keki wakati wengine wanashinda njaa, wanaona wanafanya hisani na sio kwamba ni kazi zao..., utaona kwamba this is engraved kwenye culture (ya wao kuona wapo pale kula kwa urefu wa kamba zao) hence in short mwananchi amefanya kwa upande wake (kulipa kodi na yupo tayari kutoa nguvu kazi yake kama atapewa ajira yenye ujira) at the same time kiongozi / mtunga sera ameshindwa ku provide hayo kwa huyu mwananchi
 
Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.

Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.

Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.

Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.

Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?

Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.

Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.

Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"

Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.

FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Hivi Kafulila karudiana na Mkewe? Au ndo kizazi chenyewe anachozungumzia?

Nasikia Mkewe ni Chakula ya Mkubwa mmoja siku hizi!!
Alioa kizazi chenye tamaa
 
TZ bado kuna watu bora kabisa, ila kizazi cha watawala bora kutoka CCM kimeshatoweka.
 
Kafulila ni Bingwa sana kwenye hoja huyu muha
 
Nzuri
 
Back
Top Bottom