Daaah CHADEMA vichwa ngumuYeye mwenyewe mbona chawa, kula yake inategemea kusifia Samia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah CHADEMA vichwa ngumuYeye mwenyewe mbona chawa, kula yake inategemea kusifia Samia
David Kafulila wa ESCROW ndio huyu huyu?Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Tunaposema ni hazina tunamaana anaumuhimu kwa TaifaHana uhazina wowote,kaupepo tuu kama kale ka Antony Mtaka.
By the way Kuna mtu hajui kuupiga mwingi wa mdomoni hapa Tanzania ya Nyerere?.
Bahati mbaya sana Nchi hii Huwa inaendeshwa na wataalamu wa spinning za propanda,na hao ndio huonekana wa maana na sio kupimana kwenye matokeo na vigezo vya msingi.
Yes ni huyu huyuDavid Kafulila wa ESCROW ndio huyu huyu?
Umuhimu wake uko wapi na kuliko nani?Tunaposema ni hazina tunamaana anaumuhimu kwa Taifa
Kafulila yuko sahihi hata hivyoNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
DaahHapana, hizzo siyo typing error, huo ni ujinga wa kuchanganya R na L
Tazama R iko wapi na L iko wapi, hata iwe typing error?
Danganya wajinga wengne siyo mimi.
Typo nazifahamu vilivyo na ujinga wa kuchanganya R na L naufahamu vilivyo.
Huwa sikosi "typing errors" nakosoa huo ujinga wa kuchanganya R na L. Kumbuka hilo.
Daah nchi ngumu sana hiiYeye mwenyewe mbona chawa, kula yake inategemea kusifia Samia
Nini inasikitisha?Inasikitisha sana
Wapi hakuna shule Mzee?Wote nyinyi mafisadi na wapumbavu kilakitu amuwezi, Umeme,maji,Majengo ya shule chakavu, madawati shule hakuna.
amesema kweli kabisa.leo unaweza kumpa injinia akujengee nyuma yeye anachofanya aanjiri fundi njaa anabaki asimamia ujenzi kwa remote control.anapiga simu anauliza eti ukuta utakuwa umenyoka?Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
in fact watu wazamani walikuwa na akili nyingi sana .kuna misemo /mithali walizitunga zilikuwa zimejaa mafundisho balaa.mifano hii hapa:Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Kweli nowadays people are not serious,amesema kweli kabisa.leo unaweza kumpa injinia akujengee nyuma yeye anachofanya aanjiri fundi njaa anabaki asimamia ujenzi kwa remote control.anapiga simu anauliza eti ukuta utakuwa umenyoka?
Watu walikuwa wanafanikiwa zaidi zamaniin fact watu wazamani walikuwa na akili nyingi sana .kuna misemo /mithali walizitunga zilikuwa zimejaa mafundisho balaa.mifano hii hapa:
1.afichaye uchi hazai.ni kweli ukificha uchi na huku unataka mtoto huwezi kuzaa,maana mimba utaipateje?
2.mwanamke ukiwa mjamzito usile mayai mengi maana utazaa mtoto mwenye upara: hapa walimaanisha kwamba ukila sana mayai ukiwa mjamzito,mtoto tumboni atakuwa na uzito mkubwa sana ,hivyo mama mjamzito atashindwa kuzaa au kupata fistula
3.ukiwa mjamzito ifikapo miezi sabab usifanye tendo la ndoa ,maana mtoto atazaliwa na mbegu kichwani.kumbe hapa walitaka tusiwachoshe wake zetu
nk
Inawatengeneza kisha inawaachia kizembe sanaYUKO SAHIHI.NA YKO SMART.CHADEMA INAUWEZO WAKUTENGENEZA VIJANA.
Hakika, Jamaa na Nyerere mtupu aiseeHe's very right.
Ungeingia kwenye ubongo wake ungeona picha ya Mwalimu Nyerere, na ya Magufuli.
Even in our families huenda iko hivyo hivyo ila sometimes tunanyamaza tu.
Unadhani kwanini Kafulila afanane na Nyerere?Hakika, Jamaa na Nyerere mtupu aisee
Misimamo yake ni thabiti sana ambayo ni Sifa mojawapo ya Mwl NyerereUnadhani kwanini Kafulila afanane na Nyerere?