Five55
JF-Expert Member
- Jun 14, 2024
- 214
- 241
Yeah jamaa anavision kubwa sanaHe is very very right
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah jamaa anavision kubwa sanaHe is very very right
Sahihi kabisaNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Big brainNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.

Tanzania ina vijana wazuriNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
DaaahAliyasema haya wakati alipokuwa na akili yake timamu. Bahati mbaya ukienda CCM, sharti la kwanza ni lazima uache akili kwanza.
Ukimwuliza Kafulila leo hii juu ya hayo aliyoyasema, atayakana kabisa, kwa sababu yeye mwenyewe amewezeshwa.
MunguambaeikiNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Ni maNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.

Tanzania bado Iko imara sanaNi maneno mazuri,ila kushangaa si sawa Kwa upande wake wakati anajua wapi tunakosea. Serikali ilitoa fedha za kujenga madarasa haya ya COVID 19,na waliataka ndani ya miezi mitatu yakamilike. Huo ubora utakuwepo?
Jambo lingine wakandarasi wanaombwa sana fedha kwenye miradi waliyopewa anafikiri nn kitatikea kama sio kuharibu kazi?
Hiki ni kizazi Bora ,mana kinakupa ubora kulingana na urefu wa kamba yko .
Thank you SirNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Kasahau kama kizazi cha leo ni zao la kizazi anachodhani ni boraNimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.
Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.
Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.
Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.
Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?
Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.
Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.
Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"
Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.
FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
Jamaa Bungeni alikuwa moto sanaUmenena, tangu enzi yako ukiwa bungeni ulikuwa mtu wa point na busara. Unanikumbusha aliyelala kaburini kama JPM.
CHADEMA inazalisha vichwa, CCM inazalisha matakataka!Hata CHADEMA ya akina Kaburu na Makani sio hii ya Leo ,Mjitafakari