Kafulila: Huenda tuna kizazi bora zaidi kaburini kuliko hiki kilichopo leo

Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.

Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.

Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.

Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.

Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?

Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.

Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.

Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"

Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.

FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.
​
 
Attachments

  • IMG-20241223-WA0017.jpg
    IMG-20241223-WA0017.jpg
    33.4 KB · Views: 21
  • Nnko.jpg
    Nnko.jpg
    59.2 KB · Views: 22

Hapa Kafulila kaongea kwa sauti
 
Hata Wewe kula yako inamtegemea Mbowe na Lissu
Hii vita ya Siasa ndio inatufanya vijana wa Kitanzania tunaonekana hatuna maana yoyote,

Leo vijana wa Kitanzania tumegawanywa kisa Siasa.
Nadhani hatulitendei vema Taifa hili
 
Mbona kilakukicha tunaletewa habari zahaka kajamaa kafulia!?
Kunachawa gani humu jf anatumika kuleta propaganda za kumtembeza humu huyu kafulia?
Moderators mmepewa nini mbona ujinga wa kafulia umejaa humu?
 
Katika dhama za ukoloni tungekua na vijana kama Kafulila wasimgeona umuhimu wakudai hata uhuru huo ndio ukweli vijana waliopata nafasi za maamumuzi wamegeuka kasuku wanaimba nyimbo zakusifu nakuabudu na wakiona vijana wana challenge basi wanawaona kama watubambao hawana uzalendo ndio mana leo hatushangai wameua Mwendokasi kesho hatutashangaa wakiua SGR na maisha yataendelea
 
Nimekutana na hii Clip ya Kafulila sijui ni ya lini na alikuwa katika tukio gani sifahamu ila nimevutiwa na hekima za hotuba yenyewe.

Katika video hii Kafulila anasema hapa duniani tuna kizazi bora zaidi kilichopo kaburini kuliko hiki kinachoishi duniani leo.

Ukisikiliza vizuri hiyo Clip Kafulila anasema, Leo tuna kizazi ambacho wazee wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu ya uzee wao kwani wameishiwa nguvu.

Leo wanawake nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni wanawake na mbaya zaidi vijana ambao ndio nguvu kazi ya Taifa nao wanahitaji kuwezeshwa kwa sababu wao ni vijana.

Kafulila anahoji, Kipo wapi kizazi kile ambacho kijana alichukua panga, shoka na jembe ili kuukabili msitu kujitajirisha na ikiwa Serikali itakuja itamkuta ametangulia shambani?

Kafulila anashanga leo kuna majengo ya Serikali maeneo mbali mbali yalijengwa miaka ya 1960 hata kabla ya Uhuru au miaka ya 1970 wakati wahandisi wa ujenzi wakiwa wachache kabisa.

Kafulila anashanga zaidi majengo hayo ya zamani kabisa leo yanapakwa rangi tu ili kusafisha kuta lakini leo majengo mengi ya madarasa na majengo mbalimbali ya Serikali yanayojengwa na Watanzania wenyewe hayadumu.

Leo, majengo mengi baada ya miaka mitano au kumi tu yanakuwa yamejaa nyufa Kila sehemu wakati leo ndio wakati ambao wahandisi wa Kitanzania wa Ujenzi wamejaa nchini"

Huenda ni kweli kizazi kilichopo kaburini kiliipenda zaidi Tanzania kuliko kizazi hiki tunachoishi kwani ni kizazi kinachotanguliza masilahi yao zaidi kuliko masilahi ya Taifa.

FIKIRI, LEO JENGO LA MWAKA 1960 HALINA NYUFA ILA JENGO LA MWAKA 2000 LIMEJAA NYUFA TUJITAKARI KAMA TAIFA.

​
Inashangaza sana kizazi Cha sasa viongozi wamejilimbikizia Mali,
Wanawalipa pensheni hadi wake wa wastaafu.

Kizazi kilichopo kaburini Baba wa Taifa alitembelea baiskeli na hakujilimbikizia mali kama wao.

Yaani watu wapambane kwenda msituni wakati viongozi wao wanajineemesha tu na pesa za Taifa!
 
Tuliandaliwa kuto kuhoji na walio tuandaa kuto kuhoji wako kaburini

Japokuwa tatizo la kuhoji huanzia kwenye ngazi ya familia kuna vitu ukivihoji utaambiwa kama umekuwa ondoka

Hili tatizo la kuhoji kwasasa limebebwa kwenye ngazi zote za maisha yetu hata mashuleni, makanisani, vyuoni, kwenye vyama vya siasa, bungeni kuhoji kuna mipaka yake
 
Katika dhama za ukoloni tungekua na vijana kama Kafulila wasimgeona umuhimu wakudai hata uhuru huo ndio ukweli vijana waliopata nafasi za maamumuzi wamegeuka kasuku wanaimba nyimbo zakusifu nakuabudu na wakiona vijana wana challenge basi wanawaona kama watubambao hawana uzalendo ndio mana leo hatushangai wameua Mwendokasi kesho hatutashangaa wakiua SGR na maisha yataendelea
Kafulila unataka atafute uhuru gani mwingine, Nani kaua Mwendokasi kama sio Utendaji mbovu wa waendashaji?
 
Back
Top Bottom