Mtanzania Tajiri
JF-Expert Member
- Aug 31, 2024
- 341
- 319
DIRA iliyopita matokeo ni haya unayoyaonaWatuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?
Tumeweza kuifikia?
Kama tumeshindwa, kwanini?
Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DIRA iliyopita matokeo ni haya unayoyaonaWatuambie kwanza Dira ya 2025 ilikuwa inasema nini?
Tumeweza kuifikia?
Kama tumeshindwa, kwanini?
Niwakumbushe tu 2050 sio mbali sana.
Kufanyia nini hizo nguvu?Kafulila anatumia Nguvu nyingi Sana.
UmeelewekaNimeipenda hii,
CCM lazima iwepo kama tunataka kufanikiwa zaidi,
Hongera Kafulila