Kafulila: Kama kuna mtu au kampuni wameona kuna mradi serikali inauendesha kwa hasara na wana mbinu za kuifanya serikali na wao kupata faida waje

Namwamini sana huyu jamaa
 
PPP itanisaidia sana Tanzania
 
Well done PPP
 
Bahati mbaya sena pesa tu ningenununia mradi mmoja wa maji niuendeshe kwa ufanisi mkubwa
 
Kafulila ni mtu mzuri sana
 
Tuko tayari Wana wa Songambele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…