Kafulila: Kila mwaka Serikali inapata hasara kutokana na ufanisi mdogo. Sekta binafsi duniani inamiliki teknolojia kubwa kuliko Serikali

Huyu jamaa kazi yake ni kutoa takwimu tu?
 
Kwa hiyo mheshimiwa tumbili mwambie Bibi aanzishe DOGE yake na wewe uwe mkurugenzi wake.
 
Kwa hiyo Nini kifanyike?
 
Simbachawene alisema 40% ya WAFANYAKAZI wa Serikali ni maboya hiki anachokisema Kafulila naamini ni kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…