Kafulila: Kila mwaka Serikali inapata hasara kutokana na ufanisi mdogo. Sekta binafsi duniani inamiliki teknolojia kubwa kuliko Serikali

View attachment 3196432
===
Akizungumza na Waheshimiwa madiwani waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza maswala mbalimbali ya PPP Mkurugenzi Mtendaji wa kituo cha Ubia nchini David Kafulila amesema Serika inapata hasara kubwa karibu kila mwaka kwa sababu ya kukosa efficiency.

Kafulila anasema duniani kote sekta binafsi ndio sekta inayomiliki teknolojia ya kiwango Cha juu zaidi ya Serikali ndio maana moja ya lengo la PPP ni kuvuta teknolojia toka kwa sekta binafsi.

<<<<msikilize mpaka mwisho>>>>

View attachment 3196218
Huyu jamaa asikilizwe
 
View attachment 3196432
===
Akizungumza na Waheshimiwa madiwani wa Ilemela waliofika ofisini kwake kwaajili ya kujifunza mambo mbalimbali yahusuyo PPP kwenye kituo hicho cha PPPC Tanzània,

Mkurugenzi Mtendaji wa kituo hicho cha Ubia nchini Bw. David Kafulila amewaambia madiwani hao kuwa Serika inapata hasara kubwa karibu katika kila mwaka kwa sababu ya inefficiency ufanisi mdogo

Kafulila anasema duniani kote na Wala sio Tanzania tu Sekta binafsi ndio Sekta inayomiliki teknolojia ya kiwango cha juu zaidi ya Serikali ndio maana moja ya lengo la PPP ni kuvuta teknolojia toka kwa sekta binafsi.

Mkurugenzi Kafulila anaendelea kuwa kusema kwamba PPPC inavutia Wawekezaji kwa njia ya PPP ili kupata vitu vitatu muhimu,
|• Ilikupata Mtaji
||• Ilikupata teknolojia
|||• Ilikupata Ujuzi/Uzoefu

View attachment 3196218

====
Samia mitano tena
 
Nimesoma sana Leo hiI thrad
 
Nakubaliana na hii
 
IMG-20250108-WA0074.jpg
 
Back
Top Bottom