Kafulila kumpiku Kabwe?

Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Mi sioni kitu hapo
 
Kila siku Zitto Zitto jamani jadilini mambo muhimu yanayo husu hii nchi kwa nini tunarudi hatua 7 nyuma?

muanzilishi kauliza TUNAONAJE..... mi nimemjibu SIONI KITU... so mi simo.
 
Mh mbona sijamsikia!! Tusubiri tuone kwanza!! BADO YUKO CHINI TENA SANA!! Labda baadaye tusubiri.
 
muanzilishi kauliza TUNAONAJE..... mi nimemjibu SIONI KITU... so mi simo.
Kafulila amekuuliza nawe ukaingia kwenye mtego wake kumjibu!!!!! ulitakuwa kumwambia ajiangalie kwenye kioo halafu ajibu mwenyewe!!!!
 
kama zitto alivyochakachuliwa..ndivyo na kafulila atakavyochakachuliwa soon..

Huyu jamaa tayari mafisadi wameshamchakachua na ukitaka kuamini soma gazeti la Rai la tarehe 9/12/2010 utaona walivyompa sifa za kijinga.
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Tuone nini? Tupimie wapi?..... Bunge lenyewe halijachanganya sasa huyo Kafulila tutampimaje? Ebu kwanza aende bungeni ajenge hoja ndio hapo tupime uwezo wake! Currently, let him enjoy the benefit of doubt!
 
Nazani TAMAA ya maisha mazuri na PESA za haraka haraka za njia za mkato, NDIZO ZINAZOWAHARIBU hawa
Thats is right unajua napata mashaka sana juu ya hawa w2 wa2 Z'kabwe&Kafulila wanasemasema sna mwisho wa cku wana2peleka puta cc wapenda upinzani.
 
kwani kafulira kafanyaje zaidi ya kumkataa ngeleja?tujuze.....
Sawa kamkataa ngeleja unajua ukianza kuona Mtoto anaanza kumkataa baba ujue mbele c kuzuri ok let us wait and see
 
kwani kafulira kafanyaje zaidi ya kumkataa ngeleja?tujuze.....
Sawa kamkataa ngeleja unajua ukianza kuona Mtoto anaanza kumkataa baba ujue mbele c kuzuri ok let us wait and see
 
No one is born hating another person because of the colour of his skin, or his background or his religion.
People must learn to hate, and if they can learn to hate, they can be taught to love, for love comes more naturally to the human heart than its opposite.
 
Hongereni kwa kuendelea kuchangia but kuna m2 kabadilisha kichwa cha post hii?
 
Kwa speed hii anayokuja nayo mh Kafulila anaweza akawa tishio kwenye bunge la 10 kama alivyokua Mh Zitto kwenye bunge lililopita but waswas wangu ni huyu zitto ambaye amekua haeleweki ndani ya CDM.Eti nyinyi mnalionaje hili jamani?

Mbona mnajidanganya? Zitto hakuwahi kuwa tishio, aliyekuwa tishio ni Dr. slaa, Mnyaa, Mdee, Hamad Rashid, Ndesamburo, n.k. Fuatilia Hansard siyo magazeti ya mafisadi yaliyokuwa yanampamba zitto hata kama kaongea pointless.

Kafulila hana ubavu wowote katika kujenga hoja, ni mchemkaje. hukumuona j2 iliyopita?
 
kweli ngoma ivuma sana hupasuka je ni kweli yaliyomka Zitto?
 
Wote wawili hawana kitu zaidi ya utoto kuwasumbua. Hakuna mwenye uafadhali.
 
Hii kali thread toka jukwaa la siasa hadi kwenye udaku LOL! kweli mods mnaanza kumchoka Zitto.
 
Ehe he he he he. ina maana huyu alieanziasha thread hii ni Kafulila mwenyewe ili atest zali? Au una maana gani? Sijakupata hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…