Kafulila: Mafanikio ya Kihistoria ya Bandari chini ya DP World na Vivuko vya Bakresa ni mwanzo tu wa matunda ya PPP kwenye kujenga Uchumi wa kisasa

Hili la Bakhressa na vivuko vyake ni kushindwa kutimiza wajibu wake serikali, mwishowe mtaita Wachina waendeshe JWTZ
Na Bakhresa anapiga kweli
Kuvuka ni 500/=
Mv magogoni na mv kigamboni vimefichwa baharini huko.
 
Nani kakwambia Serikali inashindwa?
Jisomee vizuri ujue maana ya PPP Mzee
PPP gani inayoongeza gharama ya maisha ya wananchi
Kabla hajapewa mzenji Bakhresa vivuko vitatu vilikuwa vinafanya kazi just fine..vilihujumiwa akapewa mzenji na na nauli kapandisha kutoka 200 hadi 500.
 
Moja ya watu wanaotakiwa kufungwa na kuozea jela au kunyongwa ni huyu binadamu mwenzetu Kafulila...trick anayoitumia ya kutulaghai hakika inafanya kazi.
 

Anachokisema ni common sense. Ambacho hakisesemi is no common. Ndiyo mtego wenyewe na ndipo tutakapopigwa. In short, Private sector ina gharama zake.
 
PPP gani inayoongeza gharama ya maisha ya wananchi
Kabla hajapewa mzenji Bakhresa vivuko vitatu vilikuwa vinafanya kazi just fine..vilihujumiwa akapewa mzenji na na nauli kapandisha kutoka 200 hadi 500.
Vipi Kuhusu ubora wa huduma?
 
Kaziindelee tu
 
Mbona anapiga zogo tu, hayo mafanikio ya DP World yako wapi in numbers, na kiuwekezaji? Wameongeza kitu gani kipya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…