Kafulila: Mafanikio ya Kihistoria ya Bandari chini ya DP World na Vivuko vya Bakresa ni mwanzo tu wa matunda ya PPP kwenye kujenga Uchumi wa kisasa

Chawa promax
 
TEMESA imepewa billions of money na zingine zimeshaanza kutumika kujenga vivuko. Ingieni website ya TEMESA mjionee vivuko vipya vinavyoendelea kujengwa.
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana
 
TEMESA imepewa billions of money na zingine zimeshaanza kutumika kujenga vivuko. Ingieni website ya TEMESA mjionee vivuko vipya vinavyoendelea kujengwa.
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana
Wewe unataka viendelee kujengwa kwa Kodi zetu au Mikopo? Kwanini usione fahari kwa Sekta binafsi kusaidia Serikali?
 
Sawa
 
Hongera sana Rais SAMIA
 
Jana nimemsikia Heche anazungumzia eti bandari imeuzwa nadhani amsikilize vizuri hapa Kafulila
 
Mama Samia mitano tena
 
Vimehujumiwa na nani?
Mv Magogoni na Mv Kigamboni vimehujumiwa ili mzenji mwenzetu Bakhresa apige hela
Vivuko vyake ni 500/=
Wakati vivuko vyote vitatu vinafanya kazi hakukuwa na shida..
Pale feri ni ufisadi unaohitaji special audit.
Vimehujumiwa na nani?
 
Kafulila ni kiongozi mkweli sana hii DPW watu ni kama walikuwa wanainyaa hivi ila yeye naona ananyoosha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…