Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
- Thread starter
- #121
Sasa kama unataka ku-counter hoja ya Kafulila njoo na evidenceLook at you; mimi ni Kafulila?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa kama unataka ku-counter hoja ya Kafulila njoo na evidenceLook at you; mimi ni Kafulila?
Chawa promaxMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Wewe unataka viendelee kujengwa kwa Kodi zetu au Mikopo? Kwanini usione fahari kwa Sekta binafsi kusaidia Serikali?TEMESA imepewa billions of money na zingine zimeshaanza kutumika kujenga vivuko. Ingieni website ya TEMESA mjionee vivuko vipya vinavyoendelea kujengwa.
Hii nchi ina mambo ya hovyo sana
Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Mambo yamebadilika sanaKwenye bandari hata Mimi naungana na Kafulila
Palikuwa na urasimu sana pale ila Leo kwakweli acha Samia aongoze tu hata kama mpaka 2035 ni sawa tu
Hongera sana Rais SAMIAMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Jana nimemsikia Heche anazungumzia eti bandari imeuzwa nadhani amsikilize vizuri hapa KafulilaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Bagoyo nayo TayariKwenye bandari hata Mimi naungana na Kafulila
Palikuwa na urasimu sana pale ila Leo kwakweli acha Samia aongoze tu hata kama mpaka 2035 ni sawa tu
Mama Samia mitano tenaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Zile ni Siasa tuJana nimemsikia Heche anazungumzia eti bandari imeuzwa nadhani amsikilize vizuri hapa Kafulila
Mkataba wa DP world uliahidiwa kupelekwa bungeni kujadiliwa, Je tayari ushajadiliwa? Na kama bado haujapelekwa, nitaanzia wapi kusifia jambo hili hata kama limeleta matunda?
Yes! Rais Samia aweza kuwa yuko good sana lkn kwa nini yale ya kuwekwa wazi hataki yawe wazi?
Vimehujumiwa na nani?Mv Magogoni na Mv Kigamboni vimehujumiwa ili mzenji mwenzetu Bakhresa apige hela
Vivuko vyake ni 500/=
Wakati vivuko vyote vitatu vinafanya kazi hakukuwa na shida..
Pale feri ni ufisadi unaohitaji special audit.
Mtakubali wote ni swala la muda tuKwenye bandari hata Mimi naungana na Kafulila
Palikuwa na urasimu sana pale ila Leo kwakweli acha Samia aongoze tu hata kama mpaka 2035 ni sawa tu
Kafulila ni kiongozi mkweli sana hii DPW watu ni kama walikuwa wanainyaa hivi ila yeye naona ananyoosha sanaMkurugenzi Mtendaji wa Kituo Cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw. David Kafulila amekaririwa akisema kuwa nia ya PPP ni kuvuta na kuvutia mitaji , Ufanisi pamoja na Teknolojia toka Sekta binafsi Popote Duniani.
Mkurugenzi huyo ametolea mfano faida za moja kwa moja za PPP nchini Tanzania ilizoanza kuzipata toka kwenye Vivuko vya Bakresa pamoja na Ufanisi wa kihistoria uliofikiwa na DP WORLD kwani kwa kipindi kifupi DP WORLD imetoa matokeo ambayo hayajawahi kufikiwa kwa miongo mingi iliyopita.
Kafulila anaendelea kwa kusema Serikali inaleta sekta binafsi kwaajili ya kuvuta teknolojia Kwakuwa Sekta binafsi ndio yenye teknolojia bora zaidi kuliko ile iliyoko Serikalini na huu ni utafiti kwa Dunia nzima.
Anaendelea kwa kusema, zile pesa za walipa Kodi ambazo Serikali ingeipatia TEMESA ili kununua Vivuko Sasa pesa hizo zitaelekezwa moja kwa moja kwenye Ujenzi wa miradi mingine muhimu kama vile shule, Zahati au vituo vya afya Kwakuwa Sasa huduma za Vivuko zinatolewa na Bakhresa kwa utaratibu wa Ubia na Serikali bila kutumia Senti moja ya Kodi Wala Mkopo wowote.
Tumia muda wako kupata madini toka kwa Kafulila.
View attachment 3224842
===
Ni rahisi sana kwa sasaSasa hivi kutoa mzigo inachukua siku nagpi na zamani ilikuwa siku ngapi?
Kafulila nampataje?Kwenye bandari hata Mimi naungana na Kafulila
Palikuwa na urasimu sana pale ila Leo kwakweli acha Samia aongoze tu hata kama mpaka 2035 ni sawa tu
Na wamilikiVimehujumiwa na nani?
Vimehujumiwa na nani?
Alikuwa mbunge alafu unasema sio mwanasiasa una-akili kweliKafulila sio mwanasiasa