Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Katika jambo lolote ni vema kufanya majaribio kupima kiwango cha matokeo..mazuri, wastani, mabaya..hakuna mradi wowote wa PPP hadi sasa ambao umejaribiwa au uko kwenye majaribio..sielewi kwa nini huyu mtu kila mara anarudia kitu kile kile, anabadilishabadilisha maneno, mara..kuchachusha sijui kuvutia..anza kwanza huo wa DART kwa majaribio kupima sera ya PPP inafaa au haifai au wapi parekebishwe kabla ya hii mingine..ana matatizo gani huyu??
Waziri kaongea kabla Yake
Mkurigenzi WA TRC Kadogosa aliongea kablabyake kuhusu hilo Yeye anadakia wenzie waliyoongea kabla Yake kuongea hiyo Ardhio TBC kutafuta ujiko
Wenzie waliongea kabla yake
Yeye atusaidie kujibi uongo wake aliosema Kuwa mwenfo kasi Mwekezaji ndie atatanunua mabasi wakati Mchechu kasema mabasi yatanunuliwa Kwa mkopo ambao serikali itakopa Benki ya NMB
Aseme hapa mabasi ananunua Mwekezaji au serikali? Alanushe uongo wake aliongea kwenye kipindi cha mahojiano na TV
Katika jambo lolote ni vema kufanya majaribio kupima kiwango cha matokeo..mazuri, wastani, mabaya..hakuna mradi wowote wa PPP hadi sasa ambao umejaribiwa au uko kwenye majaribio..sielewi kwa nini huyu mtu kila mara anarudia kitu kile kile, anabadilishabadilisha maneno, mara..kuchachusha sijui kuvutia..anza kwanza huo wa DART kwa majaribio kupima sera ya PPP inafaa au haifai au wapi parekebishwe kabla ya hii mingine..ana matatizo gani huyu??
Waziri kaongea kabla Yake
Mkurigenzi WA TRC Kadogosa aliongea kablabyake kuhusu hilo Yeye anadakia wenzie waliyoongea kabla Yake kuongea hiyo Ardhio TBC kutafuta ujiko
Wenzie waliongea kabla yake
Yeye atusaidie kujibi uongo wake aliosema Kuwa mwenfo kasi Mwekezaji ndie atatanunua mabasi wakati Msechu kasema mabasi yataninuliwa Kwa mkopo ambao serikali itakopa Benki ya NMB
Aseme hapa mabasi ananunua Mwekezaji au serikali? Alanushe uongo wake aliongea kwenye kipindi cha mahojiano na TV
===
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa Sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye Uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa na treni za SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema kama ilivyo kwa miundombinu ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa ni Wananchi kupata huduma Bora huduma nzuri na kwa wakati ndivyo itakavyokuwa kwa SGR huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yanaletwa kwa kuanzia.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi ( economic stimulus ) ambayo ndio hasa sera za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndio zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwenye nchi zote za maziwa makuu.
Huu uzi ngoja nimtag mwanangu MamaSamia2025
Unamsikia kafulila anataka watanzania wakawekeze hapo 😄
Au sisi ndiyo mwisho wetu viwanda vya pombe,juice unga soda nk