Five55
JF-Expert Member
- Jun 14, 2024
- 214
- 241
🤣🤣 Mtatiro shida ipo palepaleKuna uzi wa Mtatiro humu 😄 🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣 Mtatiro shida ipo palepaleKuna uzi wa Mtatiro humu 😄 🤣
Jamaa uko fiti sanaUsipumbazwe na ratings za kina moody..wakati serikali ndio mtoaji wa takwimu, ndie amelipia zoezi lote wanalofanya..ratings wanazofanya ni sawa na taarifa za kihasibu za fedha (financial statements) kwa makampuni..zinaweza zisikupe picha halisivile zinategemea takwimu ulizonazo..usidanganyike ndugu!
Hivi ubora wa nchi kiuchumi na maendeleo kwa ujumla unapimwa kwa kuangalia matatizo ya kiuchumi waliyonayo na kiwango cha madeni nchi inayodaiwa..?
Kwa hiyo Singapore raia wake wana vichwa viwili kila mmoja, au uspecial unaousema ni upi hasa..
Kama biashara ya Almas Botswana wanafanya vzr kuliko sisi huo uhakika wa mafanikio ya miradi ya PPP unaujenga kwenye msingi upi?
Hiyo miradi uliyotaja kwanza hakuna mahali popote inatajwa km flagship projects za PPP..nipe reference pse! lkn siyo vipaumbele kwa PPP.. Mwaka jana kulifanyika marekebisho ya sheria ya PPP sabb hata kanuni tu hazikuwepo..sijui hiyo miradi unataja ilikuwa inalindwa na kanuni zipi..
Hakuna sabb ya kufika mbali, the bottom line is...huwezi kufanya PPP pasina uhakika wa mradi unaofanya kuwa utafanikiwa, na hivyo ni muhimu kuwa na majaribio kwanza, ndio maana ya kusema Fanya kwanza huo mradi wa DART kabla ya kuingia kwenye miradi mingine..haraka ya nini? Huyo mbia aliyetajwa wa DART hata hajulikani lini anakuja, hata kipande tu cha karatasi ya makubaliano hakipo, mara unarukia SGR! Kwa hiyo siku hizi ufanisi unapimwa kwa kuorodhesha matarajio na mipango?
Kwani hio jeshi sio watzHiki kitu Mimi nakipinga kama vipi wapewe jeshi wasimamie hii reli kama watu wa kawaida hawawezi
BAVICHA au wazalendo wenye akili? Huoni kuwa hapa ni mazingira ya kuweka watu binafsi kufanya hii biashara? Serikali inawezaje kujenga treni halafu ishindwe kununua? Mnakuwa wajinga kama ni cross ya nyumbu na binadamu?Ngoja waje Bavicha waseme👀
Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Wewe ni akili kubwaHata mwendokasi waruhusiwe watu binafsi waweke mabasi yao miundombinu ndio ibakie serikalini ili kuleta ushindani
Mtupe mitaji Sasa sio maneno maneno tiMkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Utaliendesha kwa kukokota?Naweza hata kununua behewa moja?
Jamaa is smart tukiacha unaziMkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Good move guy👏🏿👏🏿👏🏿Mkurugenzi wa Ubia nchi Bwana David Kafulila ameiambia ARIDHIO ya TBC kuwa sasa ni rasmi mtu au kikundi chochote chenye uwezo na nia ya kununua na kuendesha vichwa vya treni pamoja na mabehewa ya SGR wanakaribishwa kufanya hivyo Kwa sharti la Ubia na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania chini ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema, kama ilivyo kwa miundombinu mingine ya usafiri na usafirishaji ya Serikalí akitolea mfano wa barabara za Serikali kuna watu wamenunua Mabasi na wanayaendesha na Serikali inapata kodi lakini kubwa zaidi ni Wananchi kupata huduma bora na nzuri tena kwa wakati huku akitolea mfano wa mradi mkubwa kati ya DART na Mbia ambao kwa kiwango kikubwa uko tayari na mabasi zaidi 170 yataletwa kwa kuanzia divyo itakavyokuwa kwa SGR.
Kafulila anasema Serikali inafanya haya ili kuchachusha Uchumi wa nchi (economic stimulus) ambayo ndio hasa sera halisi na makini za Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan na kwa sera hizi ndiyo zinaifanya Tanzania kuendelea kusalia kileleni kwa uchumi jumuishi kwenye nchi zote za maziwa makuu na baadhi ya nchi kusini mwa Jangwa la sahara.
Ni sahihi kabisaJamaa is smart tukiacha unazi
Nisawa lakini wakikupiga utalalamikia wapi?Kwaniní tusiwape JWTZ waendeshe hii Biashara?