Kafulila: Milango iko wazi kwa mtu au kikundi kununua vichwa na mabehewa ya SGR kisha kuyaendesha kwa miundombinu ya serikali kwa sharti la ubia

Jamaa uko fiti sana
 
Miundombinu ya reli ibakie umiliki wa serikali ila uendashaji wapewe watu binafsi ili kuleta ushindani
 
Hata mwendokasi waruhusiwe watu binafsi waweke mabasi yao miundombinu ndio ibakie serikalini ili kuleta ushindani
 
Ngoja waje Bavicha waseme👀
BAVICHA au wazalendo wenye akili? Huoni kuwa hapa ni mazingira ya kuweka watu binafsi kufanya hii biashara? Serikali inawezaje kujenga treni halafu ishindwe kununua? Mnakuwa wajinga kama ni cross ya nyumbu na binadamu?
 
Kafulila hawezi kusema uongo
 
Mtupe mitaji Sasa sio maneno maneno ti
 
Jamaa is smart tukiacha unazi
 
Good move guy👏🏿👏🏿👏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…