Tatizo ni hizo sekta binafsi zinazoomba ruzuku serikalini ili kujiendesha sijui kama kweli zitalipa hiyo KodiNashukuru
Kafulila yuko sahihi kabisa ila kwa Culture ya Watanzania ni Heri uimarishe sekta binafsi Ili upate Kodi kuliko hii PPP yenye mchanganyiko
Mifano ni TBL na Sigara ππ
TBL haiombi Ruzuku popote kwa sababu haina userikali ndani yakeTatizo ni hizo sekta binafsi zinazoomba ruzuku serikalini ili kujiendesha sijui kama kweli zitalipa hiyo Kodi
Nadhani hiyo ndio dhana ya PPP pawepo na private wengi kama TBL ili Serikali iongeze WiGo wa kodiTBL haiombi Ruzuku popote kwa sababu haina userikali ndani yake
Umehamaki?Wewe Raia umesaidia nini kwenye nchi yako?
Unaelewa maana sahihi ya Public Private Partnership?Nadhani hiyo ndio dhana ya PPP pawepo na private wengi kama TBL ili Serikali iongeze WiGo wa kodi
Toa mifano ya hiyo Miradi ya PPP ambayo Serikali ilishawahi kuingia ubia na sekta Binafsi ili tuongee kwa mifano.Tatizo Kafulila hajui kitu chochote kile kuhusu masuala haya ya Miradi ya PPP hapa Tanzania. Mpaka Sasa, Serikali ya Tanzania tayari imeingia Mikataba mingi tu ya Miradi ya PPP kabla hata Rais Magufuli na Samia waingie madarakani, Je, huyo Kafulila ameshawahi kujiuliza kwamba nchi hii imekuwa ikinufaika Nini na hiyo Miradi ya PPP???
Tayari kuna Mikataba mingi ya Miradi ya PPP kati ya Tz na Makampuni mbalimbali kutoka nchini China, Je, Tanzania mpaka Sasa inanufaika nini kutokana na kuwepo kwa Miradi hiyo ya Ubia Kati ya Tz na China?? Kwanza huyo Kafulila mpaka Sasa anaijua Miradi hiyo ya Ubia ambayo tayari ipo kwenye utekelezaji tangu miaka mingi iliyopita??
Kafulila aache kupiga Domo na kupiga Propaganda za Siasa kuhusu suala hili la Miradi ya Ubia Kati ya Serikali na Sekta Binafsi, kwani hili ni suala gumu ambalo liko nje ya uwezo wake wa akili, na hata kwenye hii Serikali iliyopo Hakuna Watu ambao wako competent enough wa kuweza kuli-handle suala hili la Ubia. Wengi waliopo hawana uelewa wa kutosha kuhusiana na masuala haya ya Ubia na jinsi Miradi ya Ubia inavyoweza kutekelezwa kwa kuzalisha faida.
Naelewa vizuri sanaUnaelewa maana sahihi ya Public Private Partnership?
PPP Moja ni Kiwanda cha Ngozi Morogoro Mali ya Serikali na AboodToa mifano ya hiyo Miradi ya PPP ambayo Serikali ilishawahi kuingia ubia na sekta Binafsi ili tuongee kwa mifano.
Sekta binafsi inaombaje tena ruzuku serikalini?Tatizo ni hizo sekta binafsi zinazoomba ruzuku serikalini ili kujiendesha sijui kama kweli zitalipa hiyo Kodi
Ndio maana Sheria imebadilishwa johnthebaptistPPP Moja ni Kiwanda cha Ngozi Morogoro Mali ya Serikali na Abood
PPP nyingine Mashamba ya Katani Mali ya Serikali na Mo Dewji
Jumaa Karim π
Well saidNashukuru
Kafulila yuko sahihi kabisa ila kwa Culture ya Watanzania ni Heri uimarishe sekta binafsi Ili upate Kodi kuliko hii PPP yenye mchanganyiko
Mifano ni TBL na Sigara ππ
Kazi yake ndio hiyo kuongea ππKafulila anaognea sn bila kutenda
Kafulila anaognea sn bila kutenda
Ni kweli, Kafulila anaongea Sana, maneno mengi sana, anaongea Kama mwanamke wa kizaramo.Kazi yake ndio hiyo kuongea ππ
Rais Samia hana mpinzaniNavutiwa sana na staili ya kiuongozi ya David, umma wa Watanzania unataka majibu tu Wala sio pesa kama wengi wanavyofikiria.
Sekta binafsi si ndo sasa inaimarishwa kupitia huu mfumo wa PPP au wewe ulitaka sekta binafsi iimarishwe Kwa namna gani?Nashukuru
Kafulila yuko sahihi kabisa ila kwa Culture ya Watanzania ni Heri uimarishe sekta binafsi Ili upate Kodi kuliko hii PPP yenye mchanganyiko
Mifano ni TBL na Sigara ππ
Mbona inaeleweka kaka, Kwa kimatumbi ni ubia wa sekta binafsi na uma.Unaelewa maana sahihi ya Public Private Partnership?
Kwenu ni wapi Tanzania hii?. Huu upunguani wa ubaguzi wa kuangalia wapi mtu anatoka, ni upotezaji wa muda, hautusaidii.Tatizo Uraia babaLevo
Mpuuzi tu huyo.Kweli wewe ni box kabisa
Kafulila ni Mtanzania ππKwenu ni wapi Tanzania hii?. Huu upunguani wa ubaguzi wa kuangalia wapi mtu anatoka, ni upotezaji wa muda, hautusaidii.