Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
SijakuelewaVitendo gani mnama?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SijakuelewaVitendo gani mnama?
Unanitafuta?
Daahh ila CHADEMAUnanitafuta?
UWT tulieniDaahh ila CHADEMA
NailedView attachment 3140086
View attachment 3140340
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter.
Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania.
KAFULILA anarejelea Serikali ya awamu ya tatu Chini ya Hayati Rais Dkt. Benjamin Mkapa ambae katika kitabu chake Cha "My Life My Purpose " anasema baada ya kuuza mali za Umma kwa ubinafsishaji yakiwemo mashirika makubwa kama NBC kwa kupitia PSRC yaani Parastatal Sector Reform Commission anakiri alifanya makosa kuifuta tume hiyo ili ifanye ufuatiliaji wa mali zake zote ilizozifanyia ubinafshaji jambo lililozaa watu kuchukua mali za umma na kuzibadilishia matumizi, kukopea benki na uharibifu mwingine mwingi.
Kafulila anasema kwenye PPP Serikali na Sekta binafsi watamiliki mradi kwa pamoja na Serikali itakuwa ndio mwangalizi mkuu wa mradi kwa muda wote wa Mkataba na hii ndio tofauti kati ya Ubinafsishaji wa kipindi cha awamu ya tatu na Ubinafsishaji huu wa awamu ya sita kwa njia salama ya PPP.
Kafulila anasema PPP haiuzi mali za umma kama ilivyokuwa kwa PSRC bali inakodisha kwa kipindi maalum na baada kukodisha Serikali haiondoki kwenye mradi kwa kipindi chote cha Mkataba.
Na kwa ile miradi mipya itakayojengwa kwa Ubia kama zile Hosteli pale CBE baada ya muda wa Ubia kuisha miradi ile inarudi kuwa mali ya Serikali kwa asilimia 100.
Hata hivyo, ingawa haimaanishi Ubinafsishaji wa awamu ya tatu lilikuwa ni jambo baya hapana kwani ilikuwa ni njia sahihi ya kujenga Uchumi wa kisasa "modern economy" lakini matatizo hayawezi kuisha kabisa ila uamuzi wa Mzee Benjamin Mkapa wa ubinafshaji umekuwa na faida nyingi kuliko hasara Leo.
Pia soma Kwani Tulifeli vipi kwenye Ubinafsishaji wa Awamu ya 2 hadi Tufaulu sasa kwenye PPP ya David Kafulila?
______Hivi PPP ya David Kafulila inafika hadi Zanzibar Kwenye Visiwa walivyopewa Wawekezaji?
Nauliza tu Ili kupata ufahamu kama Ofisi ya David Kafulila inatenda kazi zake hadi Zanzibar Nimeona kule Zanzibar PPP inafanya Vizuri Visiwa vilivyokuwa mapori Sasa vinaboreshwa kiuwekezaji Nawatakia Sabato njema 😃www.jamiiforums.com
![]()
Why Mkapa pushed through privatisation despite criticism
When one thinks of the privatisation policy in Tanzania, the name of President Benjamin Mkapa—who died on Friday—comes into mind at the top.www.thecitizen.co.tz
Jamaa Yuko vizuri asilewe sifa afanye kaziNavutiwa sana na staili ya kiuongozi ya David, umma wa Watanzania unataka majibu tu Wala sio pesa kama wengi wanavyofikiria.
Uko sahihi ndio tunataka hapa TTCL iwe hivyoTBL haiombi Ruzuku popote kwa sababu haina userikali ndani yake
Wabongo tunapenda sana mpiraHii mada ni kubwa sana ila Kwa ujinga wa wabonge hawataweza kuipa nguvu kabisa
Hawana wagombea tuDaahh ila CHADEMA
GoodView attachment 3140086
View attachment 3140340
Hiki ndicho alichoandika Director wa PPP Tanzania Bw. David Kafulila huko kwenye akaunti yake ya X zamani tweeter.
Mkurugenzi huyo ameandika haya ili kuwatoa hofu wanaodhani huenda nchi yetu ikapata hasara ya mali na fedha kwa kuingia Ubia na Sekta binafsi toka ndani au nje ya Tanzania.
KAFULILA anarejelea Serikali ya awamu ya tatu Chini ya Hayati Rais Dkt. Benjamin Mkapa ambae katika kitabu chake Cha "My Life My Purpose " anasema baada ya kuuza mali za Umma kwa ubinafsishaji yakiwemo mashirika makubwa kama NBC kwa kupitia PSRC yaani Parastatal Sector Reform Commission anakiri alifanya makosa kuifuta tume hiyo ili ifanye ufuatiliaji wa mali zake zote ilizozifanyia ubinafshaji jambo lililozaa watu kuchukua mali za umma na kuzibadilishia matumizi, kukopea benki na uharibifu mwingine mwingi.
Kafulila anasema kwenye PPP Serikali na Sekta binafsi watamiliki mradi kwa pamoja na Serikali itakuwa ndio mwangalizi mkuu wa mradi kwa muda wote wa Mkataba na hii ndio tofauti kati ya Ubinafsishaji wa kipindi cha awamu ya tatu na Ubinafsishaji huu wa awamu ya sita kwa njia salama ya PPP.
Kafulila anasema PPP haiuzi mali za umma kama ilivyokuwa kwa PSRC bali inakodisha kwa kipindi maalum na baada kukodisha Serikali haiondoki kwenye mradi kwa kipindi chote cha Mkataba.
Na kwa ile miradi mipya itakayojengwa kwa Ubia kama zile Hosteli pale CBE baada ya muda wa Ubia kuisha miradi ile inarudi kuwa mali ya Serikali kwa asilimia 100.
Hata hivyo, ingawa haimaanishi Ubinafsishaji wa awamu ya tatu lilikuwa ni jambo baya hapana kwani ilikuwa ni njia sahihi ya kujenga Uchumi wa kisasa "modern economy" lakini matatizo hayawezi kuisha kabisa ila uamuzi wa Mzee Benjamin Mkapa wa ubinafshaji umekuwa na faida nyingi kuliko hasara Leo.
Pia soma Kwani Tulifeli vipi kwenye Ubinafsishaji wa Awamu ya 2 hadi Tufaulu sasa kwenye PPP ya David Kafulila?
______Hivi PPP ya David Kafulila inafika hadi Zanzibar Kwenye Visiwa walivyopewa Wawekezaji?
Nauliza tu Ili kupata ufahamu kama Ofisi ya David Kafulila inatenda kazi zake hadi Zanzibar Nimeona kule Zanzibar PPP inafanya Vizuri Visiwa vilivyokuwa mapori Sasa vinaboreshwa kiuwekezaji Nawatakia Sabato njema 😃www.jamiiforums.com
![]()
Why Mkapa pushed through privatisation despite criticism
When one thinks of the privatisation policy in Tanzania, the name of President Benjamin Mkapa—who died on Friday—comes into mind at the top.www.thecitizen.co.tz
Haka kanafasi hakamtoshi huyu bwana ila haya ni mawazo yangu tu siruhusu mapovu,View attachment 3140086

PPP kuweka Camera za ulinzi Ofisini - Watafuta Fedha Mjini
View: https://youtu.be/Gv7vLQwG9fg?si=Iecv7hnvrn1GbpZb
Kafulila yuko so strategicView attachment 3140086

Mkapa alikuwa fisadi sana kauza NBC Kwa bei ya hovyo sana! Alijutia Nini? Alimuudhi sana Nyerere!View attachment 3140086

Kafulila Mimi ni shabiki yakoView attachment 3140086

Kwani Jesca anasemaje?View attachment 3140086

This guy is so smart aiseeView attachment 3140086