Five55
JF-Expert Member
- Jun 14, 2024
- 214
- 241
Hadi Mbowe?Siwajui ila JPM alinunua wote
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi Mbowe?Siwajui ila JPM alinunua wote
Kule ndiyo dili zinapitia, hao akina DP World lazima wasajili na PPP kwanzaSasa pale PPP unaiba nini mangi?
Ile dira ya kuwalipa mashkeikh na Wachungaji laki tisa kila mwezi na kwamba azam tv wapunguze bei ya ving'amuzi ndio dira bora duniani?Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio na Dira ya Sasa chini ya Rais Samia Suluhu Hassan ya 2025-2050 imeandaliwa kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
😆😂Tumbili atatumalizia mahindi shambani
Hilo la kuwalipa mashekh lipo ukurasa wa ngapi maana nimesoma Dira yote sijaona hayoIle dira ya kuwalipa mashkeikh na Wachungaji laki tisa kila mwezi na kwamba azam tv wapunguze bei ya ving'amuzi ndio dira bora duniani?
Acha akili za kifisadi sio wote wenye nafasi ya kuiba wanaweza kuibaKule ndiyo dili zinapitia, hao akina DP World lazima wasajili na PPP kwanza
Wakati tunawashangaa wawili wanavyocheza, kuna mamia wako shambani wanafanya yaoTumbili atatumalizia mahindi shambani
Mbona hao chadema wanaunga mkono harakati za mpina wa ccm iweje wamkatae huyo kafulila?Nyie CHADEMA kila mtu kwenu ni mbaya duu
Kafulila anawapiga za uso, agenda zao nyingi zimekufa kifo Cha kawaida kabisa baada ya Interview zakeMbona hao chadema wanaunga mkono harakati za mpina wa ccm iweje wamkatae huyo kafulila?
Kiongozi mzuri ni yule anae simamia maslahi ya wananchi kupigana vijembe vya kisiasa haituhusu sisi kama wananchi .Kafulila anawapiga za uso, agenda zao nyingi zimekufa kifo Cha kawaida kabisa baada ya Interview zake
Hasa deni la Taifa
Kafulila hana Siasa za vijembe kwa yeyote jaribu mkumfuatiliaKiongozi mzuri ni yule anae simamia maslahi ya wananchi kupigana vijembe vya kisiasa haituhusu sisi kama wananchi .
Kitu gani tofauti na kujipendekeza?.Ila Kafulila Kuna kitu anacho Cha kipekee hata kama hatupendi kuwasifia watu wakiwa hai
===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Kila mtu anajipendekezaKitu gani tofauti na kujipendekeza?.
Tanzania ina,===

Mimi sio CCM ila Kafulila Mali sanaKule ndiyo dili zinapitia, hao akina DP World lazima wasajili na PPP kwanza
Huyu tumbili kila siku anatafuta airtime humu na mada zake zisizoeleweka lkn watu wamempuuza===
Huu ni mwaka ambao Dira ya Maendeleo ya Taifa ya awamu ya tatu chini ya Rais Benjamin Mkapa (2000-2025) imekamilika kwa mafanikio wakati Dira ya Sasa ya 2025-2050 chini ya Rais Samia Suluhu Hassan imeandaliwa na inasubiri kuzinduliwa tu kwa mafanikio pamoja na kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi alisema David Kafulila Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania PPPC Bw David Kafulila.
Kwenye Dunia hii ambayo ni ya Utandawazi ( information age ) Mahitaji ya binadamu duniani kote yamezidi kuwa makubwa zaidi ukilinganisha na uwezo w Serikali zetu zote duniani kuyakidhi Mahitaji hayo kwa kutumia Mikopo na Kodi ndio sababu Dunia inatutaka sisi kama Serikali kutafuta njia Mbadala ya kuendesha bajeti zetu nje ya Kodi au Mikopo alisisitiza.
Anasema, Kwa mujibu wa Ripoti ya IMF ya Oct 2024 uchumi wa dunia wa Serikali zote duniani umefikia US$ 102trilion wakati deni la dunia ni asilimia 95 ya Uchumi huo, Vile vile Deni lote la sekta binafsi nalo limefikia $164Trilioni huku Uchumi wote wa Dunia ukifikia $110trilioni ( Serikali & private ) lakini deni lote la Serikali, Sekta binafsi na Kaya jumla yake ni US$ 320 trilioni, Kwa maana nyingine deni la Dunia ni karibu mara tatu ya Uchumi wote wa Dunia kwa lugha nyepesi Dunia hii inaendeshwa kwa Mikopo.
Kafulila anasema wakati Uwiano wa deni la Africa kwa Uchumi wa Africa ni 67% Tanzania iko katika Hali nzuri kwani Uchumi kwa deni ni 47% wakati Kenya ni 70%, Rwanda% 71, Malawi 84% Msumbiji 96% Ghana 90% hivyo mwenendo wa deni la Tanzània kwa Uchumi wake ni mzuri ukilingamishwa na Chumi za nchi nyingi za Africa Mashariki na kati na Kusini.
View attachment 3231060
Unampuuzaje Kafulila kama unataka kujifunza mambo mazito ya hii Dunia?Huyu tumbili kila siku anatafuta airtime humu na mada zake zisizoeleweka lkn watu wamempuuza