Kafulila: Rais Samia kuongoza mwelekeo wa Tanzania ya miaka 25 ijayo baada ya ile 25 ya Mkapa kukamilika

N
Nimeelewa kabisa hii
 
Nitapata wapi dira zote mbili 25yrs Nkapa na hii ya sasa?? Nione tunavyopuyanga......kuikimbia dira na pia kama huwa kuna adjustment ikitokea muda umetupita.....
 
Kila lenye heri mama,
 
Nitapata wapi dira zote mbili 25yrs Nkapa na hii ya sasa?? Nione tunavyopuyanga......kuikimbia dira na pia kama huwa kuna adjustment ikitokea muda umetupita.....
Nikutumie kwa njia gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…