Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
Duuh, Kumbe Kafulila ni mpigaji? Alipiga kiasi gani na wapi?Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.
Pole sana Kafulila.
CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Ila Kumbuka Mungu sio Wewe Bejamini NetanyahuHuyu mpuuzi bado anaota uteuzi
AjiajiriIla Kumbuka Mungu sio Wewe Bejamini Netanyahu
Kwani unamlisha?Ajiajiri
Naona unapambana kumtetea mumeoKwani unamlisha?
Achana na Kafulila Wewe BAVICHA Jibu hoja,
Mkosoe kwenye hayo matarakimu kama sio kweli,
Stupid people deals with people, Strong People deals with issues,
Good Kafulila ,Kuna watu hawapendi kuona Rais Samia akisemwa kwa mazuri, Endelea Sisi wenye CCM tunakuelewa sana===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Nchi yetu Kuna maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa kunasehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless ya utajiri mkubwa tulionao,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Kama Huna hoja Kuna ulazima wa kuandika?Naona unapambana kumtetea mumeo
Kafulila soon tunamteua tena nafasi nyeti kabisa ili mjiue kabisaKafulila tulia tu ushapigwa chini,acha mbanga za kutaka uteuzi kichawachawa.
Kafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa. Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Nchi yetu Kuna maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa kunasehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless ya utajiri mkubwa tulionao,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
ππ ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishiaKafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa.
Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.
Kuna maisha baada ya siasa.
ππ ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishiaKafulila tulia tu ushapigwa chini,acha mbanga za kutaka uteuzi kichawachawa.
ππ ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishiaHuu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.
Pole sana Kafulila.
CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Kwanini unipangie cha kuandika? mwambie mumeo akae kimya siyo RC tenaKama Huna hoja Kuna ulazima wa kuandika?