Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

Mwananchi Huru

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2021
Posts
2,128
Reaction score
1,896
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,

#SamiaRoadto2025|30
IMG-20221117-WA0001.jpg
 
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.

Pole sana Kafulila.
CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.
Duuh, Kumbe Kafulila ni mpigaji? Alipiga kiasi gani na wapi?
 
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Nchi yetu Kuna maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa kunasehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless ya utajiri mkubwa tulionao,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Good Kafulila ,Kuna watu hawapendi kuona Rais Samia akisemwa kwa mazuri, Endelea Sisi wenye CCM tunakuelewa sana
 
Kafulila tulia tu ushapigwa chini, acha mbanga za kutaka uteuzi kichawachawa.
 
===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,

Nchi yetu Kuna maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,

Kama Taifa kunasehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,

Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless ya utajiri mkubwa tulionao,

#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Kafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa. Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.

Kuna maisha baada ya siasa.
 
Kafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa.
Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.
Kuna maisha baada ya siasa.
😂😂 ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishia
 
Kafulila tulia tu ushapigwa chini,acha mbanga za kutaka uteuzi kichawachawa.

Back
Top Bottom