Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

anajitahid kudhihirisha utumbili wake ili apate japo kauteuz tena
 
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,

Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
 
😂😂 ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishia
Tumbili analazimisha kuonekana, asije kusahaulika ufalme wa mama.
Bora ajitegemee, kutegemea mtu atakufa masikini.
 
Mbona hizo juhudi sioni mahali zipotajwa au ni ujenzi wa madarasa kwa pesa ya msaada ya UVIKO_19
 
Hataki mumuelewe, yeye anataka cheo.
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,

Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
 
Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,

Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani

Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.

Mtanisamehe sitarudia tena,
ccm na wajinga wao wanahaha 2025 andaeni makaz kabisa.
 
Tumbili analazimisha kuonekana, asije kusahaulika ufalme wa mama.
Bora ajitegemee, kutegemea mtu atakufa masikini.
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,

Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
 
Kwani unamlisha?

Achana na Kafulila Wewe BAVICHA Jibu hoja,

Mkosoe kwenye hayo matarakimu kama sio kweli,

Stupid people deals with people, Strong People deals with issues,
stupid people praise people but intelligent people praise God, so wapumbavu endeleeni kumwabudu huyo mnayemwita mamayenu.
 
😂😂 ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishia
hizo unazoita facts nani ameziapprove kuquote neno vol. ndio unaona amekuja na fact mwambie aweke andiko lake humu tuone acha kukaririshwa wewe.
 
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,

Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
Ha ha ha!
Tumbili Kafulila anasubiri embe chini ya mnazi.
Wenye akili za ziada kusa gundua!
 
Mama jembe Sana,
 
Hakika huu ni Uamuzi mzuri sana,
CAG aliwahi kusema 60% ya wafanyakazi Tanzania hawako vizuri, Hapa Tatizo ni elimu moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…