Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
Good Kafulila ,Kuna watu hawapendi kuona Rais Samia akisemwa kwa mazuri, Endelea Sisi wenye CCM tunakuelewa sana
Hataki mumuelewe, yeye anataka cheo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Good Kafulila ,Kuna watu hawapendi kuona Rais Samia akisemwa kwa mazuri, Endelea Sisi wenye CCM tunakuelewa sana
anajitahid kudhihirisha utumbili wake ili apate japo kauteuz tena===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Nchi yetu Kuna maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa kunasehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless ya utajiri mkubwa tulionao,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,Kwanini unipangie cha kuandika? mwambie mumeo akae kimya siyo RC tena
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,anajitahid kudhihirisha utumbili wake ili apate japo kauteuz tena
Tumbili analazimisha kuonekana, asije kusahaulika ufalme wa mama.😂😂 ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishia
So?#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,
Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,Hataki mumuelewe, yeye anataka cheo.
ccm na wajinga wao wanahaha 2025 andaeni makaz kabisa.Ila kwenye hili la Elimu Tanzania tuko nyuma Sana,
Rais Samia 2025 Mimi nitamchagua kiroho Safi kabisa yaani
Nilifanya makosa 2020 nilichagua watu ata Ofisi tu hawana na wanamika 32.
Mtanisamehe sitarudia tena,
#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,Tumbili analazimisha kuonekana, asije kusahaulika ufalme wa mama.
Bora ajitegemee, kutegemea mtu atakufa masikini.
utakufa wew kama alivyokufa shetan wenu mkamdhururisha juani huku akinuka.Kafulila soon tunamteua tena nafasi nyeti kabisa ili mjiue kabisa
Jibu hoja Mjomba, wa BAVICHAutakufa wew kama alivyokufa shetan wenu mkamdhururisha juani huku akinuka.
stupid people praise people but intelligent people praise God, so wapumbavu endeleeni kumwabudu huyo mnayemwita mamayenu.Kwani unamlisha?
Achana na Kafulila Wewe BAVICHA Jibu hoja,
Mkosoe kwenye hayo matarakimu kama sio kweli,
Stupid people deals with people, Strong People deals with issues,
Mungu atakaa kwenye kimya cha magic kama chako?stupid people praise people but intelligent people praise God, so wapumbavu endeleeni kumwabudu huyo mbayemwita mamayenu.
hizo unazoita facts nani ameziapprove kuquote neno vol. ndio unaona amekuja na fact mwambie aweke andiko lake humu tuone acha kukaririshwa wewe.😂😂 ndio maana ni muhimu kusuka upya mfumo wa elimu maana hata quality ya mijadala ni kielelezo cha ukubwa wa tatizo. Mtu anaweka researched facts , badala ya kumjibu kwa facts unakuja na matusi ndio uwezo wako unapoishia
Ha ha ha!#HUU NI USHAHIDI YA ANACHOTAKA KUKIFANYA RAIS,
Ukiona post ya akili lkn kati ya michango 10, wenye akili 1 maanake tatizo ni 90% hivyo kusuka elimu kuokoa taifa sio jambo la kusubiri tena😂
Kafulila atateuliwa tu kwani record zake zinambeba hadi kaburini,Ha ha ha!
Tumbili Kafulila anasubiri embe chini ya mnazi.
Wenye akili za ziada kusa gundua!
Mama jembe Sana,===