Kafulila: Rais Samia Suluhu kusuka upya mfumo wa Elimu ya Tanzania ni zaidi ya Uamuzi muhimu wowote uliowahi kufanyika baada ya Uhuru

Mama, hebu mgeukia kijana wako hali ni mbaya huku mtaani, sisi wengine tushazoea.
 
Je huo Mfumo wa Elimu inasukwqje?
Nasoma mipasho tu huku, mbali zaidi hata seniors wanaandika ngongera
Unafumuliwa na kupangwa upya from the grass root to the top,

Elimu ijielekeze zaidi kwa vijana kujiajiri sio kutegemea kuajiriwa kama ilivyo sasa
 
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.

Pole sana Kafulila. CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.

Tangu lini wa Kigoma wakawa na msimamo hadi waaminike? Wanayumba sana hawa watu japo wanajitahidi kuwa na ufahamu wa mambo but njaa yao imewazidi.

Kafulila ni Babalevo aliyechangamka
 
Kafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa. Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.

Kuna maisha baada ya siasa.
Babalevo aliyechangamka huyu Kafulila
 
Tangu lini wa Kigoma wakawa na msimamo hadi waaminike? Wanayumba sana hawa watu japo wanajitahidi kuwa na ufahamu wa mambo but njaa yao imewazidi.

Kafulila ni Babalevo aliyechangamka

Babalevo aliyechangamka huyu Kafulila
Kafulila anawatesa sana aise
 
Huyu marioo bada anatafuta tawi la kushikiria

J. Kishoa kashachoka kumlea[emoji3061]
 
Kafulila atawatoa roho Anti Samia,
 
Zuhura Kafulila Ngedere Yunus aliyechangamka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…