Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafumuliwa na kupangwa upya from the grass root to the top,Je huo Mfumo wa Elimu inasukwqje?
Nasoma mipasho tu huku, mbali zaidi hata seniors wanaandika ngongera
Huu ni mwendelezo wa Kafulila kuendelea kusaka uteuzi upya baada ya kutimuliwa kule Simiyu kwa upigaji na ufitini. Uchawa umemharibu mnoo Kafulila.
Pole sana Kafulila. CCM ni mafisi hawapendi kujichanganya na ngedere.

Babalevo aliyechangamka huyu KafulilaKafulila amegundua kisifu na kuabudu baada ya kutemwa. Atafute mradi wa kujikimu, afanye kazi na kulipa kodi.
Kuna maisha baada ya siasa.
Toa mshahara wako wa ubunge mpe mtaji mumeoHivi Sasa anakula kwako,
Kwa jinsi nilivyofuatilia mijadala hii,
Niwazi elimu yetu unahitaji reforms,
Vijana badala ya kujadili hoja wanamjadili mtoa hoja,
Kafulila anawatesa sana aiseTangu lini wa Kigoma wakawa na msimamo hadi waaminike? Wanayumba sana hawa watu japo wanajitahidi kuwa na ufahamu wa mambo but njaa yao imewazidi.
Kafulila ni Babalevo aliyechangamka
Babalevo aliyechangamka huyu Kafulila
Kafulila anawatesa sana aise
Kafulila huwezi kuwa Mario, najitambua na anajuhudi za kaziHuyu marioo bada anatafuta tawi la kushikiria
J. Kishoa kashachoka kumlea[emoji3061]
Unamsemea ww ni nyumba ndogo yake[emoji3061]Kafulila huwezi kuwa Mario, najitambua na anajuhudi za kazi
Namfahamu Kafulila, Usipende kuhamasisha viongozi kuwa wezi?Unamsemea ww ni nyumba ndogo yake[emoji3061]
HahahaMama, hebu mgeukia kijana wako hali ni mbaya huku mtaani, sisi wengine tushazoea.
Kafulila atawatoa roho Anti Samia,===
Hiki ndicho alichoandika aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila katika kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan katika Sekta ya Elimu na walimu,
Leo, Nchi yetu Kuna baadhi ya maeneo bado hatufanyi vizuri Kutokana na aina ya nguvu kazi tuliyonayo kama Taifa,
Kama Taifa, kunabaadhi ya Sehemu tunapata hasara na sababu ikiwa ni aina ya watu tulionao katika Maeneo na nyanja hizo za kiutendaji,
Lazima tukubali Rais Samia Suluhu Hassan ndio mtu anayefuatilia kwa karibu Sana sababu ya Sisi Tanzania kuendelea kuwa masikini regardless utajiri mkubwa tulionao kama Taifa,
#SamiaRoadto2025|30 View attachment 2419093
Zuhura Kafulila Ngedere Yunus aliyechangamka.===

Kwani unamchukia Kafulila kwa lipi?Hataki mumuelewe, yeye anataka cheo.
Daaah, hahahaZuhura Kafulila Ngedere Yunus aliyechangamka.
Wapi nimeonyesha kumchukia?Kwani unamchukia Kafulila kwa lipi?
atapata kwani anastahilianajitahid kudhihirisha utumbili wake ili apate japo kauteuz tena