econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
BAVICHA Jengeni kwanza Ofisi ili mpate uhalali wa kukosoa Wengine
CCM na yenyewe ijenge ofisi, maana imerithi majengo ya serikali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
BAVICHA Jengeni kwanza Ofisi ili mpate uhalali wa kukosoa Wengine
A true politician is always visible in national politics. Hata akistaafu akawa nyumban😂Kafulilqa utashindwa hadi kusomesha wanao kwa kushinda ktk mitandao kuendekeza uchawa!
Tafuta kazi ya kufanya hata ukulima wa vitunguu maji utakuwa na manufaa kuliko uchawa !
Kafulila atateuliwa tu kwani record zake zinambeba hadi kaburini,
Mwanasiasa hawezi kusema anafanya maisha yake na kwamba hataki kushiriki/ comment on national agenda.S
Sasa Kama anarekodi nzuri mbona alitemwa ,Tena siku anatemwa aliambiwa maneno makali na mtumbuaji.
Rais anafanya vizuri Sana lazima tukubali huu ndio Ukweli,
Asante Kafulila kwa Taarifa
Kuna shida gani akisaka uteuzi kwa kutema madini? Baki hivyo hivyo na undezi wako
Chadomo mtaongea yote naona mnajitahidi Sana kuugulia 😂😂
Ndio maana hata akiwa RAS ata comment on politics 😂Madini gani? Kwanza mabadiliko yenyewe ni kuondoa elimu ya msingi.
Lazima atoke Huyu ni mtu serious Sana,Kafulila mwenyewe katokea CHADEMA.
Hata Silinde,Mollel,Mbunge wa Babati na wengine wengi waliona huko ni miyeyusho wakawakacha..Kafulila mwenyewe katokea CHADEMA.
Umesoma hiyo tweet yake? Kaongea uongo au ukweli?Madini gani? Kwanza mabadiliko yenyewe ni kuondoa elimu ya msingi.
Kafulila ni hatari SanaBulldozer
Mwanasiasa hawezi kusema anafanya maisha yake na kwamba hataki kushiriki/ comment on national agenda.
Mtumbuaji alisemaje?
Ndio maana hata akiwa RAS ata comment on politics 😂
Akiwa RC ata comment on politics
Akiwa hana nafasi yoyote ata comment politics.
Huyu ndio mwanasiasa David Kafulila
Usipanic kafulilaJengeni kwanza Ofisi ndio mpate Moral Audacity ya kunyooshea vidole wengine