Kafulila: Serikali inakopa T-bills kwa 5% wakati Msumbiji 17%, Kenya 16%, Malawi 16%, Zambia 10%, Namibia 9%, Uganda 9%, SA 8%. Uelekeo wetu ni sahihi

Uchambuzi mzuri sana huu,Kafulila kaziiendelee
 
Tatizo kubwa TZ watu wengi wanaakili na uwezo mdooogo wa kufikiri mambo yamsingi wanachoweza zaidi ni kusifia wanaowapenda
 
unapojilinganisha jilinganishe na aliyeshinda sio aliyeshindwa.In this matter huwez jilinganisha na nchi kama Kenya ambayo ni among the highest wadaiwa😂.Kafulila hebu tulinganishe na Chad,Botswana na Equatorial Guinea tuone hapo tumesimamaje!
 
Nimegundua wachangiaji wengi hawawezi kutofautisha kati ya T-bills na T-bonds,

T-bills ni hati fungani za muda mfupi
T-bonds ni hati fungani za muda mrefu
 
Namwona Zaipuna
 
Tuambie na yenyewe inakopesha hati fungani kwa riba ya kiasi gani. Ili tujue ufanis wake. Isijekuwa inaelekea mufilisi kama wengine wanavyodai
 
Tanzania tuko vizuri,Mungu Yuko Upande wetu
 
Wewe kama ni mtu serious utaelewa tu kwamba kukopa ni jambo jema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…