Kafulila: Tanzania Haiwezi Kufikia Uchumi Mkubwa Bila Sekta Binafsi

Jabali la Siasa

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2020
Posts
3,629
Reaction score
3,015
Katika mhadhara wa umma uliofanyika Tengeru Institute of Community Development (TICD), Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Ubia Tanzania (PPPC), David Kafulila, alitoa hoja muhimu kuhusu nafasi ya sekta binafsi katika maendeleo ya Taifa la Tanzania.

UFAFANUZI KUHUSU UJAMAA WA CHINA NA UWEKEZAJI WA PPPs.

1. China ya Deng Xiaoping: Kafulila alieleza kuwa mawazo ya kufikiri China bado ni ya ujamaa wa Mao ni makosa. Tangu mageuzi ya Deng, China imejenga mfumo wa soko na kuingiza private capital kwa kiwango kikubwa.

2. Miradi ya PPP China: Thamani ya miradi ya ubia nchini China ilifikia zaidi ya dola trilioni 1.5, sawa na zaidi ya nusu ya uchumi wa Afrika yote mwaka 2024.

3. Ujamaa na sekta binafsi: Kafulila alisisitiza kuwa kama China Taifa linalotambulika kihistoria kwa ujamaa limeweza kushirikisha sekta binafsi, basi Tanzania haina hoja ya kukataa ushiriki wa sekta binafsi katika maendeleo endelevu.

4. Mwalimu Nyerere: Alikumbusha hotuba za Mwalimu Julius Nyerere, ambapo alisisitiza kuwa sekta binafsi ya ndani lazima ishiriki katika kujenga uchumi wa Taifa.

5. Deni la dunia: Kafulila alieleza kuwa deni la dunia limefikia zaidi ya dola trilioni 300, huku deni la serikali pekee likiwa takribani dola trilioni 100. Hii inaonyesha kuwa sekta binafsi na kaya zinabeba sehemu kubwa ya mzigo wa kifedha duniani.

Uwiano wa deni na uchumi:

Dunia: deni la serikali ≈ 90% ya uchumi wa dunia.

Afrika: deni la serikali ≈ 67% ya uchumi wa bara.

Tanzania: deni la serikali ≈ 47% ya uchumi wa taifa.

Kwa mujibu wa Kafulila, TICD ni jukwaa muhimu la kitaaluma linalowaunganisha wanazuoni, serikali na sekta binafsi kujadili mikakati ya maendeleo. Hivyo, mijadala kama hii ni sehemu ya kuelimisha Taifa kwamba katika information age, hakuna serikali inayoweza kufanikisha maendeleo peke yake bila kushirikisha sekta binafsi.

oa kwanza ndio tukusikilize
 
unaupiga mwingi sana
 
akili ipo
 
Sawa
 
Nakuelewa
 
nani kasema
 
Back
Top Bottom