Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

Hizi barabara na zijengwe maramoja foleni hii inaboa sana,

Safi sana Mama Samia
 
Kweli ndugu pamoja na utajiri wote huu tulionao.
 
Huyo mbara mbona hajaweza tangu Uhuru wa JMT?
 
Ni barabara nzuri kwa wale madereva wanaoona kero kusimama kwenye zebra na red light, hapo ni mwendo wa kufyatuka tu maana hataona taa wala zebra labda kama gari ni legelege linaweza kutoka nje ya barabara. Sijui hii itakuwa na sped limit ya ngapi
 
Mataa lazima asimame na Zebra vivyo hivyo
 
Tofauti kati ya Makonda na Kafulila huyu jamaa ni kichwa sana na anaweza ku-balance mambo
 
Huyu kenge siku hz kashiba pesa ya ccm, ana Jamba Jamba tu, hakusikia wabunge wa kulalamika kuwa kuna shule haina hostel, wanafunzi, wanashinda wamelewa mchana kutwa,kama Mambo basic ya elimu bado hatujaweza, hiyo mifumo ya njia za kulipa haina maana, unatqka nani alipe,hawa hawa wa bongo wenye maisha magumu na vikokotoo
 
Kafulila utamfananisha na takataka zenu hizo za Upinzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…