Unanipotezea muda mkuu 'ISRAEL' na haya magenge yenu ya upigaji. Kuna siku yatakomeshwa tu.Kwakuwa kazi ndio imetangazwa ni wakati wenu ukiwemo wewe mkaomba hiyo kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unanipotezea muda mkuu 'ISRAEL' na haya magenge yenu ya upigaji. Kuna siku yatakomeshwa tu.Kwakuwa kazi ndio imetangazwa ni wakati wenu ukiwemo wewe mkaomba hiyo kazi.
Nimesema "kila kitu".Hata hapa tunajibizana Jf ni kitu tumeiga kwa Wazungu
Hizi barabara na zijengwe maramoja foleni hii inaboa sana,View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Magenge gani mkuu KalamuUnanipotezea muda mkuu 'ISRAEL' na haya magenge yenu ya upigaji. Kuna siku yatakomeshwa tu.
Kweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Huyo mbara mbona hajaweza tangu Uhuru wa JMT?Kweli hii awamu ya mzanzibari imefilisika kimawazo.pesa zote alizokopa,Kodi tunazokamuliwa,misaada na zinginezo ambazo zingejenga barabara ya njia sita kutoka dar Hadi kigoma wao wanatuletea takataka ya kulipia?.yaani Ninunue gari yangu Kodi nakatawa,mafuta Kodi nakatawa,na barabara Tena duh!
Unaweza kuwa hata ni wewe Rufiji damMwekezaji kama sio Mwarabu nifutwe JF
Akili kubwa huna hai practise uchawa.Kafulila ni akili kubwa lazima uelewe hivyo.
Mataa lazima asimame na Zebra vivyo hivyoNi barabara nzuri kwa wale madereva wanaoona kero kusimama kwenye zebra na red light, hapo ni mwendo wa kufyatuka tu maana hataona taa wala zebra labda kama gari ni legelege linaweza kutoka nje ya barabara. Sijui hii itakuwa na sped limit ya ngapi
Unaifahamu freeway&Expressway lakiniMataa lazima asimame na Zebra vivyo hivyo
Shida hapo ni uelekeo ni mmojaUnaifahamu freeway&Expressway lakini
Hata wewe ni chawa tuPesa tulizonazo ziko wapi?
Kumbuka Kuna maeneo hayana barabara kabisa,
SawaHata wewe ni chawa tu
Tofauti kati ya Makonda na Kafulila huyu jamaa ni kichwa sana na anaweza ku-balance mamboView attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Huyu kenge siku hz kashiba pesa ya ccm, ana Jamba Jamba tu, hakusikia wabunge wa kulalamika kuwa kuna shule haina hostel, wanafunzi, wanashinda wamelewa mchana kutwa,kama Mambo basic ya elimu bado hatujaweza, hiyo mifumo ya njia za kulipa haina maana, unatqka nani alipe,hawa hawa wa bongo wenye maisha magumu na vikokotooView attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Kafulila utamfananisha na takataka zenu hizo za Upinzania?Huyu kenge siku hz kashiba pesa ya ccm, ana Jamba Jamba tu, hakusikia wabunge wa kulalamika kuwa kuna shule haina hostel, wanafunzi, wanashinda wamelewa mchana kutwa,kama Mambo basic ya elimu bado hatujaweza, hiyo mifumo ya njia za kulipa haina maana, unatqka nani alipe,hawa hawa wa bongo wenye maisha magumu na vikokotoo
Dua la kuku 😀😀😀Debe tupu Kila siku tuna, tuta mpaka 2030
Unasema mbali kote huko,ziko Nairobi Kenya hapo kwa majirani zetu...Hii kitu ipo sana huko Ulaya na Asia mfano ni Chine,
Tumechelewa sana.