Kafulila: Tanzania kwa mara ya kwanza tunajenga barabara za kisiasa za kulipia 150km kutoka Kibaha Pwani-Morogoro bila Fedha ya Serikali

Hakuna mradi unaotumia pesa za ndani kwa sasa, yote ni mikopo tu. Tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kabisa awamu hii. Tumerudi hatua 100 nyuma toka kwenye mwelekeo mzuri tuliokuwa nao na JPM.

Tuendelee kuhuzunika tu maana hali ya maisha itazidi kuwa mbaya sana.
 
Hii tabia ya kugeza kila kitu cha nje bila kuangalia kipato cha wananchi wako itakuja kuleta machafuko Nchini.
Awamu hii inaturudisha kwenye utumwa kwa speed ya SGR. Yani mikopo lukuki, kugawa rasilimali kwa wageni na ardhi sasa tumegeukia miundombinu nayo.

Sijui kuna shida gani kusimamia wenyewe mambo yetu. Weka watu wetu wakishindwa fukuza mpaka upate ambao wana ufanisi. Sasa sisi kila jambo tunategemea wawekezaji wa nje.
 
Hapo kwenye PPP kuna watu watakuwa kwenye payroll ya mapato hayo. Ujinga utakuwa ule ule kama wa daraja la kigamboni bridge hela zilichotwa NSSF ila wastaafu hawapewi hela zao danadana ni nyingi mno.
 
Hapo kwenye PPP kuna watu watakuwa kwenye payroll ya mapato hayo. Ujinga utakuwa ule ule kama wa daraja la kigamboni bridge hela zilichotwa NSSF ila wastaafu hawapewi hela zao danadana ni nyingi mno.
Sina shaka kabisa na hayo unayosema. Ndiyo maana hawa mafisadi wanapigia kelele sana mipango ya aina hii hata bila ya kujuwa ni nchi gani zilishatumia 'model' hii kupata ufanisi katika maeneo yote ya uchumi wao.
Kila mradi sasa wimbo ni huo huo wa PPP; na huyu Tumbiri ndiye wameona anafaa kutumiwa katika hujuma hii ya taifa hili.
Benki ya Dunia na IMF hawachoki kubuni hii mipango, hata wakati hawajui matokeo yao yatakuwa vipi.
 
Wanachekelea maana huo mradi utakuwa cashcow ya mafisadi. Unaweza kuta hata hio kampuni itakayoshinda zabuni ni ya mchongo wa hao hao mafisadi ili wawe wanagawana mapato kihuni.
 
Watupebure kwa mda flan waanze kutulipisha
 
NENDA SOUTH AFRIKA
U
wapi huko weka mfano wa highway system kwenye western christian country iliyojengwa na watu binafsi …
UTAYAKUTA MABARA BARA MINGI TU YA ULIPIA TOLL
 
Kuhusu mikopo kuna ka ukweli fulani kuwa nii mbano wa kiuchumi kwa taifa
msikilize huyu mtaalamu.
 

Attachments

  • VID-20240509-WA0014.mp4
    3.7 MB
Kafulila ni kijana smart sana akili natamani angepewa nafasi ya kisiasa angeisaidia sana Taifa.
 
Taifa linasonga kwa kasi sana chini ya jemedari Samia Suluhu Hassan
 
Tatizo letu sisi ni Upigaji tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…