Ze Bulldozer
JF-Expert Member
- Jun 12, 2020
- 1,070
- 568
Tanzania washamba ni wengiUnasema mbali kote huko,ziko Nairobi Kenya hapo kwa majirani zetu...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tanzania washamba ni wengiUnasema mbali kote huko,ziko Nairobi Kenya hapo kwa majirani zetu...
Mungu atusaidie tuishi maisha marefu mkuu,Yajayo sijui,ila wengi tutakuwa tumekufa.
Hakuna mradi unaotumia pesa za ndani kwa sasa, yote ni mikopo tu. Tumekuwa kichwa cha mwendawazimu kabisa awamu hii. Tumerudi hatua 100 nyuma toka kwenye mwelekeo mzuri tuliokuwa nao na JPM.Bila fedha ya serikali ana maana Gani? Kwamba umeoa unamuachia mkeo 5000 ya matumizi anajitokeza kidume anamuongeza 15000 anaenda kununua kuku mzima anapika Kisha ukirudi nyumbn unakula chakula unajiramba kabisa na kumsifia mkeo kwamba amepika chakula kizuri?
Hapo hapo Kuna baadhi ya miradi Huwa mnajigamba kwamba mnatumia pesa za ndani bila ufadhili kutoka nje.
Awamu hii inaturudisha kwenye utumwa kwa speed ya SGR. Yani mikopo lukuki, kugawa rasilimali kwa wageni na ardhi sasa tumegeukia miundombinu nayo.Hii tabia ya kugeza kila kitu cha nje bila kuangalia kipato cha wananchi wako itakuja kuleta machafuko Nchini.
Hapo kwenye PPP kuna watu watakuwa kwenye payroll ya mapato hayo. Ujinga utakuwa ule ule kama wa daraja la kigamboni bridge hela zilichotwa NSSF ila wastaafu hawapewi hela zao danadana ni nyingi mno.Lakini ni jukumu la serikali kuwaunga mkono wananchi wake na kuwajengea uwezo wa kufanya mambo ndani ya nchi yao, badala ya kila mara kukimbilia hao wa nje. Kama wewe hulioni hilo, ni wazi kuwa unanufaika na huo mpango wa kutafutiza watakaowanufaisha nyinyi zaidi katika miradi hiyo, mkishirikiana na hao wwatu toka nje.
Wewe hujiulizi sisi wenyewe tutajijengea uwezo lini; baada ya miaka 60 mingine au zaidi? Kwa nini iwe hivyo.
Bhakressa hashindwi mkuu,Mkuu nakuheshimu kwa hoja, ila
Je, kunamtanzania anaweza kuweka 2trl barabarani?
Sina shaka kabisa na hayo unayosema. Ndiyo maana hawa mafisadi wanapigia kelele sana mipango ya aina hii hata bila ya kujuwa ni nchi gani zilishatumia 'model' hii kupata ufanisi katika maeneo yote ya uchumi wao.Hapo kwenye PPP kuna watu watakuwa kwenye payroll ya mapato hayo. Ujinga utakuwa ule ule kama wa daraja la kigamboni bridge hela zilichotwa NSSF ila wastaafu hawapewi hela zao danadana ni nyingi mno.
Wanachekelea maana huo mradi utakuwa cashcow ya mafisadi. Unaweza kuta hata hio kampuni itakayoshinda zabuni ni ya mchongo wa hao hao mafisadi ili wawe wanagawana mapato kihuni.Sina shaka kabisa na hayo unayosema. Ndiyo maana hawa mafisadi wanapigia kelele sana mipango ya aina hii hata bila ya kujuwa ni nchi gani zilishatumia 'model' hii kupata ufanisi katika maeneo yote ya uchumi wao.
Kila mradi sasa wimbo ni huo huo wa PPP; na huyu Tumbiri ndiye wameona anafaa kutumiwa katika hujuma hii ya taifa hili.
Benki ya Dunia na IMF hawachoki kubuni hii mipango, hata wakati hawajui matokeo yao yatakuwa vipi.
Hata ugandaHii kitu ipo sana huko Ulaya na Asia mfano ni Chine,
Tumechelewa sana.
UTAYAKUTA MABARA BARA MINGI TU YA ULIPIA TOLLwapi huko weka mfano wa highway system kwenye western christian country iliyojengwa na watu binafsi …
Kafulila ni kijana smart sana akili natamani angepewa nafasi ya kisiasa angeisaidia sana Taifa.View attachment 2985383
Mkurugenzi Mtendaji wa PPP Tanzania Mhe David Kafulila amesema ule mradi wa barabara za kulipia(toll road) uliokwama tangu awamu zilizopita Sasa kwenye awamu hii ya sita umeiva.
Mhe Kafulila amesema, mradi huu utatumia zaidi ya US$ 800 milioni karibu sawa na TZS 2.08Trilioni.
Mhe Mkurugenzi Kafulila amesema barabara zinazokwenda kujengwa zitakuwa ndio barabara Bora zaidi hapa nchi zitakazoishi mpaka miaka 35 bila kufanyiwa Ukarabati mkubwa.
Aidha, Mhe Kafulila amesema nia ni kupunguza msongamano wa magari na watu kati ya Dar-Morogoro-Dodoma ambapo Sasa yule anayehitaji kwenda kwa kasi itamlazimu alipie kiasi Fulani Cha pesa ili apite barabara ya Express.
Mhe Kafulila anaeleza kuwa Tanzania itafunga mkataba na mwekezaji huyo na baada ya mkataba kuisha barabara zitasalia kuwa mali za watoto wa Tanzania.
Kafulila anasema nia kubwa ya Serikali ya Dkt Samia Suluhu ni Watanzania kupata huduma bora kwa gharama nafuu pasina kutumia Fedha ya Serikali.
===
Taifa linasonga kwa kasi sana chini ya jemedari Samia Suluhu HassanView attachment 2985383

Tatizo letu sisi ni Upigaji tuNafahamu vizuri kabisa anachozungumza Kafulila.
Sikuwa na maana ya kwamba barabara inajengwa na mtu mmoja, la hasha, linaweza kuwa kundi/Kampuni binafsi inayotafuta uwekezaji wa pesa ili ipate faida kwa kukusanya hizo 'toll fees'.
Sisi hapa tunawapa watu/makampuni/Mashirika toka nje kujenga miundo mbinu yetu wazalishe faida, bila kujali sisi tunanufaika kiasi gani (najua kutumia baranbara nzuri ni kunufaika).
Tofauti yetu na huo mfano wa China aliotoa huyo niliyemjibu hapo, China hawakutafutiza wawekezaji toka nje, hata Marekani na barabara zake, hawakutafuta wawekezaji toka nje wawajengee hizo barabara. Serikali imejenga yenyewe, au mashirika ya serikali yamefanya kazi hiyo. Kwa China ni mashirika haya tunayoyaona sasa yametapakaa dunia nzima, ndiyo yaliyohusika na ujenzi wa barabara hizo. Hata kwa Marekani, ni sehemu chache sana zilizojengwa na mashirika binafsi kufanya barabara hizo ziwe biashara.
Sisi hapa, tumejitoa moja kwa moja, tuwape watu toka nje shughuli hiyo. Sisi tunajiondoa! Huu ni ujinga.
Ni pana zaidi ya hapo mkuu. Pengine ujinga nao unachukuwa sehemu kubwa.Tatizo letu sisi ni Upigaji tu
Ubia ni mwarobaini wa Upigaji lazima hili pia ulifahamuNi pana zaidi ya hapo mkuu. Pengine ujinga nao unachukuwa sehemu kubwa.
Naunga mkono hoja yako ndio maana lazima tuwe na mikataba mizuri ya uwekezaji naamini hapo tutapata pesa.Ubia ni mwarobaini wa Upigaji lazima hili pia ulifahamu