Kafulila: Tanzanian government is seeking partnerships with the private sector to operate some of its 32 ferries over 30 garages across the country

Siku tukimwelewa Kafulila tutakuwa tumechelewa sana
e
 
S
Sijaambulia kitu
 
Kazi inafanyika ni kubwa sana
 
Kwa nilichokisoma hapa wewe pia unayo akili kama Kafulila
 
Kwa nilichokisoma hapa wewe pia unayo akili kama Kafulila
Kafulila anataka kila kilichopo serikali iingie UBIA na watu binafsi (ili sisi UMMA tuweze kunufaika na faida na HASARA) na hapo kutokana na loopholes za PPP huenda hasara ikawa kubwa na kodi zetu kuwa zinafidia hizo hasara...

Mimi nachosema kwenye Commanding Heights chache za Uchumi na vitu muhimu vya Huduma Serikali ivifanye kwa uchache tena kwenye Soko Huria kwa ushindani na vingine vyote watu Binafsi wafanye kivyao kwenye open market na kwa ushindani... Kama Serikali haiwezi kufanya kwa ufanisi na kama jambo sio Huduma kwa Jamii basi hakuna sababu kwa Serikali kulifanya... (be it partnership or otherwise)
 
Namkubali sana huyu jamaa
 
Mheshimiwa Kafulila ni akili kubwa.binafsi namuunga mkono na namkubali uzalendo na uchapakazi wake View attachment 3105290
Kafulila ni kama anajipromote vile. Si bure huyu kijana janja janja wa porini .Kumbe Jaji Werema alishamstukia kuwa huyu dogo si binadamu wa kawaida. Akina Prof Kitila na wenzake waangalie atanyakua nafasi zao muda si mrefu. Yeye aje akalie kiti hicho .
 
Mheshimiwa Kafulila ni mtu mzalendo anayekubalika na watanzania wengi sana
Your browser is not able to display this video.
 
So impressive
 
Unahoja mkuu
 
Ameamua kuwa dalali wa makampuni ya kigeni ?

Waha bwana [emoji706]
 
Hii Thread kuna IDs 14 zote za Kafulila.
Acha mahangaiko BAVICHA

Anachokifanya Kafulila kila mwenye akili timamu na anyechukizwa na uendeshaji mbovu wa taasisi za Serikali atakubaliana naye.

Hatuhitaji kuendeshea miradi ya Serikali yenye sura ya kibiashara kwa Kodi za wananchi,

Kodi zijenge mashule sio kuendesha ATCL,

Kodi zijenge mahospitali sio kuendesha TTCL

Nitasimama na Kafulila
 
Kwahiyo na serikali nayo ikiwa haiendeshwi vizuri iendeshwe kwa PPP?
 
Lugha Sasa
 
PPP is the way, goverment haiwez kuendesha everything
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ