Mwananchi Huru
JF-Expert Member
- Nov 20, 2021
- 2,128
- 1,896
===
Akihojiwa na kituo Cha Utangazaji Cha Wasafi Jijini Dar es salaam Mkurugenzi Mkuu wa PPP nchini Mhe David Kafulila amesema nia ya Rais Samia ni kuona miradi yote yenye sura ya kibiashara inaendeshwa na kutekellezwa na sekta binafsi kwa sharti la Ubia na Serikali.
Mkurugenzi huyo amewataka wale wote wenye mitaji, Ujuzi au tekinolojia waangalie Serikalini ni huduma/fursa gani wanaweza wakazitoa kwa faida yao na faida ya Serikali inayoongozwa na Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan.
Kafulila anasema kutokana na kasungura ketu kuwa kadogo ( budget ) ifike wakati miradi mingi yenye sura ya kibiashara tusitumie Kodi za walala hoi Wala Mikopo toka kwa wahisani wa Maendeleo bali itekelezwa kwa Fedha za watu binafsi au Kampuni mablimbali.