Kafulila: Tunataka ifike wakati Serikali ipunguze kutumia kodi na mikopo kufanya miradi ambayo sekta binafsi inaweza kutekeleza kwa PPP

PPP ni Tanzania imara
 
Jamaa yangu huyu kichwa sana
Hii PPP ilikuwa kama pipi tu kutafunwa
 
Jamaa apewe maua yake
 
Wekezeni ni muhimu hasa kwa kipindi hiki
 
Mimi ni team Samia mpaka kesho,

Kazi iendelee
 
Safi sana bwana Kafulila
 
Hili ni sawa
 
Kafulila anafanya kazi kwakweli tumpe.maua yake
 
Huyu Bwana mwamba sana
 
Nina Imani inaweza kuwa na faida, Serikali iwe na wajibu wa kuwezesha sekta kujiendesha.
Zamani kulikuwa na kampuni za Serikali zikifanya biashara na karibu zote zimekufa.
Point sana hii
 
PPP inapunguza upigaji
 
Nina Imani inaweza kuwa na faida, Serikali iwe na wajibu wa kuwezesha sekta kujiendesha.
Zamani kulikuwa na kampuni za Serikali zikifanya biashara na karibu zote zimekufa.
Hii ni kweli kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…