Mcharo son
JF-Expert Member
- Mar 4, 2015
- 4,718
- 3,804
Na ndio wizi wenyewe huu; kuhalisha matumizi ya ovyo.Namna ipo ila wafanya maamuzi ndo viziwi hawataki kusikia wanaona njia pekee ni mikopo wakati wangeweza kupunguza matumizi yao mfano posho na mishahara ya wanasiasa (bunge) manunuzi ya magari ya kifahali kila mwaka kuziba mianya ya ufisadi kwa kuweka sheria kali kwa atakayebainika kujihusisha na rushwa na matumizi mabqyq ya mali za umma
Hebu tulieni mama awajengee nchi mu-enjoyNa ndio wizi wenyewe huu; kuhalisha matumizi ya ovyo.
Haki mama anaupiga mwingi sana,Hebu tulieni mama awajengee nchi mu-enjoy
Jambo moja kubwa Kafulila ananifurahisha ni kuwachana watu ukweli black and white kwamba Mikopo ndio mpango mzimaView attachment 3012355
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
View attachment 3011554
Unamwona shujaa kwa uwakala wake huo?Jambo moja kubwa Kafulila ananifurahisha ni kuwachana watu ukweli black and white kwamba Mikopo ndio mpango mzima
Wakati wa jiwe ilikuwa ni hatari zaidi kwani hata yeye alikuwa anakusanya pesa kwake Kwa maelezo ya Lissu.Unamwona shujaa Wakati wa jiwe ilikuwa ni hatari zaidi kwani hata yeye alikuwa anakusanya pesa kwake Kwa maelezo ya Lissu. uwakala wake huo?
Kwani hiyo mikopo unaona kasi ya ongezeko lake na maendeleo viko sawa kama wakati wa jiwe?
Unamwamini Lissu kwa mantiki hiyo?Wakati wa jiwe ilikuwa ni hatari zaidi kwani hata yeye alikuwa anakusanya pesa kwake Kwa maelezo ya Lissu.
Hakusema Lissu peke yake hata hivyoUnamwamini Lissu kwa mantiki hiyo?
Nikweli kuwa Magufuli aliweka pesa ndani?
Unamaanisha awamu ya jiwe Mikopo ilipigwa zaidi ya Leo?Hakusema Lissu peke yake hata hivyo
Leo haipigwi kabisa kwani Rais hana tamaa hizo kabisa,Ndio maana watu wengi wanatamani mama aende mpaka 2035.Unamaanisha awamu ya jiwe Mikopo ilipigwa zaidi ya Leo?
Kalaga baho watu wanatafuta noti kama hawana akili nzuri 🤣🤣Leo haipigwi kabisa kwani Rais hana tamaa hizo kabisa,Ndio maana watu wengi wanatamani mama aende mpaka 2035.
Wezi huwa hawakosekani Kila awamu au Kila mahali, hata huko kwenu pia wezi wapi so sio jambo la ajabuKalaga baho watu wanatafuta noti kama hawana akili nzuri 🤣🤣
Najua ila Mama aongezi u-serious vinginevyo hawa vijana wake watampeleka shimoniWezi huwa hawakosekani Kila awamu au Kila mahali, hata huko kwenu pia wezi wapi so sio jambo la ajabu
Mama Yuko serious sana ila hapigi kelele ni mwendo wa kimya kimyaNajua ila Mama aongezi u-serious vinginevyo hawa vijana wake watampeleka shimoni
Nani kachukuliwa hatua ata kutoka tu ripoti ya CAG?Mama Yuko serious sana ila hapigi kelele ni mwendo wa kimya kimya
Yeye anasubiri Majibu kutoka Bungeni Sasa kama Wabunge hawapeleki mapendekezo makali wakilindana Rais afanye nini?Nani kachukuliwa hatua ata kutoka tu ripoti ya CAG?
Nyie mnalipwa sisi tunaganga njaa huku vijiweni hatuna muda wa kupotezaSmall letter usisepe njoo mjadala bado
🤣🤣🤣nani anatulipa?Nyie mnalipwa sisi tunaganga njaa huku vijiweni hatuna muda wa kupoteza
Buku ten pale lumumba🤣🤣🤣nani anatulipa?