Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Sijui Ndungai anamchukiaje Kafulila😄
 
Mikopo haijawahi kuwa tatizo ila tujitahidi matumizi hayo ya Mikopo yawe sahihi hapo ndio tunaona Raha ya kukopa na kulipa
Naungana na wewe Mikopo inapopatikana basi itumie kwa matumizi sahihi sio watu wagawane Hilo ndio linatutatiza Watanzania.
 
Kafulila kama ameuweza huu mfupa apewe kongole
 
Hakuna kama Samia
 
Asante sana David, Taifa linahitaji akili za aina hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…