Small letter
JF-Expert Member
- Jun 7, 2024
- 280
- 177
🤣🤣🤣Ni hatari kwelikweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣Ni hatari kwelikweli
Huo ndio ukweli japo ni chawa tu na yeyeTuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Kafulila
Kafulila sio Chawa ni mtu anaipenda tu nchi yakeHuo ndio ukweli japo ni chawa tu na yeye
Sasa si ni chawa Serikali?Kafulila sio Chawa ni mtu anaipenda tu nchi yake
🤣🤣🤣Sasa si ni chawa Serikali?
Upo sahihi kabisa . Mheshimiwa Kafulila hajawahi kuwa chawa hata siku moja bali ni mtu MzalendoKafulila sio Chawa ni mtu anaipenda tu nchi yake
Sijui Ndungai anamchukiaje Kafulila😄View attachment 3013378
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
Mikopo haijawahi kuwa tatizo ila tujitahidi matumizi hayo ya Mikopo yawe sahihi hapo ndio tunaona Raha ya kukopa na kulipaSijui Ndungai anamchukiaje Kafulila😄
Naungana na wewe Mikopo inapopatikana basi itumie kwa matumizi sahihi sio watu wagawane Hilo ndio linatutatiza Watanzania.Mikopo haijawahi kuwa tatizo ila tujitahidi matumizi hayo ya Mikopo yawe sahihi hapo ndio tunaona Raha ya kukopa na kulipa
Zitto pia ni CCM hatuwezi kupinganaHakuna wa kujibu kule labda aje Zitto
,🤣🤣🤣kumbe Zitto ni CCM?Zitto pia ni CCM hatuwezi kupingana
Hakuna kama SamiaView attachment 3013378
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
Nasikia anataka kugombea Urais 2025 ngoja tuoneTatizo la Ndugai aliharibu hali ya hewa tangu awali
Ndugai akuwaje Rais wa nchi jamani?Nasikia anataka kugombea Urais 2025 ngoja tuone
Asante sana David, Taifa linahitaji akili za aina hiiView attachment 3013378