Kafulila: Uchumi wa dunia ni US$ 105trilion 97% ni deni kukopa na kujenga ndio mpango mzima Duniani

Daaah Cde huyu ni wewe?
 
Sijui kwanini unamchukia sana Kafulila brother
 
😆😆😆
 
Ila wewe jamaa yangu naona unaugombi binafsi na Kafulila
 
Hii PPP ingezoa miradi yote ambayo Watanzania wanaitumia kuwaumizia Watanzania wenzako kwa rushwa,

Natamani PPP iende mpaka kwenye mashule,vyuo na mahospitali
 

Vietnam hakuna Mafisadi kama ya hapa kwetu.
 
Tuko vizuri sana Tanzania
 
CHADEMA unasumbua sana wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…