Raia - JMT
Senior Member
- Jun 23, 2024
- 121
- 112
Unajifananisha na Kafulila?Elimu za kukarii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unajifananisha na Kafulila?Elimu za kukarii
Daaah Cde huyu ni wewe?Samia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Huyu jamaa ni rangi mbili hata CHADEMA pia yupoDaaah Cde huyu ni wewe?
Mheshimiwa Kafulila ni hazina kubwa sana kwa Taifa letu na anatoa elimu nzuri sana kwa wananchi zidi ya upotoshaji unaokuwa ukifanywa na wapinzaniKafulila anatufumbua macho
Ukweli utabaki kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe kwelikweli.ni mchapakazi, mzalendo na mtu mwenye uwezo mkubwa sana wa kiuongoziHuyu jamaa ni rangi mbili hata CHADEMA pia yupo
Sijui kwanini unamchukia sana Kafulila brotherSamia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Uliishia darasa la kwanza?Sijui kwanini unamchukia sana Kafulila brother
Samia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Ila wewe jamaa yangu naona unaugombi binafsi na KafulilaSamia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Kwakweli !Kwani yenyewe dunia inasemaje
Dunia ipi hiyo?Kwani yenyewe dunia inasemaje
But aliyebarikiwa kabarikiwa tuIla wewe jamaa yangu naona unaugombi binafsi na Kafulila
View attachment 3013378
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
Tuko vizuri sana TanzaniaView attachment 3013378

CHADEMA unasumbua sana weweSamia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Ya Mbowe yamewashindaCHADEMA unasumbua sana wewe
Mbowe anahali mbaya sanaYa Mbowe yamewashinda