ABC ZA 2025
JF-Expert Member
- May 2, 2018
- 1,299
- 832
Yes nakubaliana na weweTuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Kafulila
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes nakubaliana na weweTuendelee kumuunga mkono Mheshimiwa Kafulila
Ufafanuzi mzuri sana David, Tuendelee kuipigania nchi yetuView attachment 3013378
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
Uchambuzi mzuri sana huu, Nimefurahi,View attachment 3013378

Ndio maana Kafulila anasisitiza UBIAKama deni la dunia ni $315 trillion na katika hilo madeni ya serikali $97 trillion; kwa asilimia madeni ya serikali ni 30.8% na private debt 69.2%. Maana yake nini private sector ndio inakuza uchumi sio serikali.
Tanzania kwenye deni la taifa $77 billion kwa mgawanyo wa asilimia kwa mujibu wa imf private debt ni 12.5% na government 87.5% na serikali aizalishi kwa ratio hiyo uchumi sijui unakuwa vipi kwa kasi.
Mbaya zaidi jukumu kubwa la serikali za third world ni kujenga key infrastructure za kuchochea uzalishaji (kama vile kuweka umeme wa uhakika) na kujenga network infrastructure za usafirishaji mainly barabara na railway. Kama nchi Tanzanian tuna struggle huko.
Asilimia kubwa ya mikopo yetu ni kwa seminar za maendeleo au tunakopa kuvunja Hospitali ilikujenga mpya (you hope hawapo serious kutaka kuivunja muhimbili) katika nchi ambayo ina uhaba wa makazi hayo majengo yanaweza geuzwa apartments na hiyo hospitali ikatafutiwa eneo lingine.
Muhimbili interms of bed capacity si ajabu ikawa katika top 10 ya hospitali kubwa kwenye bara la Africa, viongozi watanzania wapo tayari kuivunja. Akili zetu watanzania zinatutosha wenyewe.
Mheshimiwa Kafulila ni kiongozi mwenye maonoNdio maana Kafulila anasisitiza UBIA
Hata Mimi nakubaliana na hiloMheshimiwa Kafulila ni kiongozi mwenye maono
Wengi sana wanakubali ukweli kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe.Hata Mimi nakubaliana na hilo
Sahihi mkuuKama fedha zote za mikopo zingeenda kwenye ujenzi wa miradi tangu tupate uhuru, TZ tungekuwa mbele ya Vietnam kiuchumi.
Ni sahihi kabisa Mikopo lazima ipelekwe kwenye imekusudiwaIssue hata sio kukopa, suala ni je hiyo pesa inayokopwa inapelekwa kwenye mtumizi yaliyokusudiwa kwa usahihi? Na kingine cha muhimu zaidi kuna mikakati thabiti iliyoandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha hiyo pesa inajizalisha hili kulipa deni pasipo kutuingiza kwenye hatari yoyote huko mbeleni?
Isije ikawa tunakopa kopa tu pasipokuwa na mikakati maalumu kama wale wamama wa uswahilini ambao kila siku wanakopa kausha damu kisha hela wanazipeleka kwenye shughuli au kufanyia birthday party watoto wao, halafu ukifika wakati wa marejesho wanaanza kusumbuana na maafisa mikopo na hatimae kubebewa vitu vyao.
Naunga mkono mikopo ichukuliwe kulingana na mahitaji husikaIssue hata sio kukopa, suala ni je hiyo pesa inayokopwa inapelekwa kwenye mtumizi yaliyokusudiwa kwa usahihi? Na kingine cha muhimu zaidi kuna mikakati thabiti iliyoandaliwa kwa ajili ya kuhakikisha hiyo pesa inajizalisha hili kulipa deni pasipo kutuingiza kwenye hatari yoyote huko mbeleni?
Isije ikawa tunakopa kopa tu pasipokuwa na mikakati maalumu kama wale wamama wa uswahilini ambao kila siku wanakopa kausha damu kisha hela wanazipeleka kwenye shughuli au kufanyia birthday party watoto wao, halafu ukifika wakati wa marejesho wanaanza kusumbuana na maafisa mikopo na hatimae kubebewa vitu vyao.
Kuwa makini na comment zako piaSamia awe makini na PPP za Kafulia, naona zinamgeuza kuwa dalali, kwa hiyo muda mwingi mali za nchi anazipigia debe "kariakoo mia kariako mia......". (Sehemu ya kariakoo chagua raslimali ya taifa, sehemu ya mia, jaza fedha ambayo kafulia anaitia hao pipi (PPP)wake)
Halafu huyu na mahesabu yake hayo anamchanganya huyu mama tutalia ohooView attachment 3013378
David Kafulila, Mkurugenzi wa PPP TANZANIA katika ukurasa wake wa tweeter ( X ) amechambua haya kwa kifupi
Kafulila anasema, kukopa kwajili ya miradi ya maendeleo ndio njia sahihi na ndio mpango wa dunia nzima kwa sasa.
Kafulila anatufumbua macho kwamba nchi zote kubwa duniani tunazoziona zikimea zinajengwa kwa mikopo kwa wastani wa 97%
David anasema, wakati uchumi wa dunia umefikia US$ 105trilion, Deni lote la dunia ( serikali & private ) ni US$ 315 trilion.
Kwa lugha nyepesi, Sasa deni la serikali zote duniani ikiwemo ya Rais Samia limefikia US$ 97trilion sawa na 97% ya uchumi wa dunia,
Kafulila anazidi kufafanua kuwa deni lote la dunia kwa ujumla ni US$ 315 Trilioni ambalo ni zaidi ya 300% ya GDP ya dunia.
Vietnam ni nchi ya mfano duniani kwa muujiza wa kukuza uchumi ndani ya muda mfupi,
Mwaka 1990, uchumi wa Vietnam ulikuwa US$ 6.4bilion, mbele kidogo ya Tanzania iliyokuwa na US$ 4.5bilioni na nyuma ya Kenya iliyokuwa na US$ 8.4bilioni,
Lakini Leo miaka 30 baadae, uchumi wa Vietnam ni US$ 400bilion, karibu mara nne ya Kenya na mara tano ya Tanzania.
Hata hivyo, Mwaka 2007, wakati uchumi wa Vietnam ukiwa US$77bilion, sawa na Tanzania leo,
Mwaka huohuo wa 2007 uwiano wa deni kwa uchumi Vietinum ulikuwa asilimia 43% karibu sawa na uwiano wa deni kwa uchumi wetu Tanzania Leo.
Kukopa kujenga uchumi ndio njia na ndio Afya yenyewe ya nchi anasema David Kafulila.
Tunamuelewa ila hivyo vitu anavyosema ni saawa na kumpigia mbuzi. Gitaa kwa ccm hiiKafulila Yuko mbele yenu sana ila bado kidogo mtamuelewa tu
Wengi sana wanakubali ukweli kuwa Mheshimiwa Kafulila ni jembe.
Kazi kwelikweliKwa haraka haraka unaweza kudhani ameongea mambo muhimu, lakini ni siasa na upotoshaji
Hakuna anayekataa kukopa! hoja ni kwamba kwanini tunakopa, ili iweje na kwa faida gani.
Mwaka 1961 tulikuwa sawa na Korea kusini
Miaka ya 1980 kukatokea akina Asian Tiger wakiwemo hao Viet Nam
Mwaka 1977 tulikuwa na China katika mkutano Arusha wa ' group 77''
Tanzania ni nchi iliyonufaika na misaada ya nchi za Magharibi kwa miaka zaidi ya 50
Tanzania ina arable land, ina madini , uoto wa asili, utalii, mito maziwa na bahari
Tanzania imekopa kuanzia Uhuru hadi iliposaemehewa ''HIPC''
Ukitazama hapo juu utajiuliza tunakwama wapi ukilinganisha na wenzetu? Kwanini tunahitaji mikopo ikiwa hatukuweza kutumia misaada na mikopo ya awali kujikwamua?
Kafulila aeleze umma haya
1. Bajeti ya Bunge kwa mwaka mmoja ni kiasi gani.
2. Mbunge wa Viet Nam anakipato gani ukimlinganisha na wa Tanzania katika chumi mbili tofauti
3. Bajeti ya kununua V8 , 500 inatoka wapi? v8 hizo zinachangia vipi kuinua uchumi wa nchi
4. Inawezekanaje nchi yenye kila mamlaka ipoteze zaidi ya Trilioni 1 kwa mwaka (CAG)
5. Tunatumia kiasi gani cha bajeti kuhudumia Wastaafu, na kwanini UK, Sweden na kwingine hawana gharamza hizo
6.Kwanini Waziri wa Uingereza atumie Taxi sisi tukiwa na V8 hata kwa Wakurugenzi tu wa idara?
7. Tuliwezaje kutumia Bilioni zaidi ya 200 kwa jambo lililoshindikana kama mchakato wa Katiba! ikiwa pesa hizo ni za mkopo tumezirudisha kwa utaratibu gani
8. Kwa miaka 10 iliyopita ni kiasi gani kimepotea kwa wizi kutokana na taarifa ya CAG
JokaKuu