Kafulila: Ujenzi wa Barabara ya Kulipia (Toll Road) Kibaha-Morogoro kuanza Mwezi wa Februari 2024

Wajenge chapu tuachane na mitorch yao
 
Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari Kwa kuanza Ujenzi mwezi February 2024.

Ajabu ni kwamba wanaweza wakaibomoa hii ya sasa ili kujenga hiyo mpya...

Wakati jambo la maana lingekuwa ni kujenga barabara mpya kabisa, huku zote ya zamani na mpya ziwe zatumika, ya zamani iboreshwe kidogo sehemu mbaya...

Kwa wataokuwa radhi kulipia, unaingia highway haina traffic wala speed limit, ukiamsha Dar break ya kwanza Moro...
 
Wajenge chapu tuachane na mitorch yao

Akili za wenye mamlaka Tanzania unazijua mkuu?

Dar - Kibaha ile mwanzo ilipozinduliwa kulikuwa na tochi karibu sehemu nne au tano hivi (Suka, Luguruni, Gogoni, Hospitali, Madukani )
 
Akili za wenye mamlaka Tanzania unazijua mkuu?

Dar - Kibaha ile mwanzo ilipozinduliwa kulikuwa na tochi karibu sehemu nne au tano hivi (Suka, Luguruni, Gogoni, Hospitali, Madukani )
Pengine hii wataiheshimu kwa kuwa itakuwa ya kulipia. Kule nako wakija na speed ya 50km per hour itakuwa utoto sana.
 
Hakuna kitu kama hicho,hiyo itasalia ya makapuku
 
Serikali ya CCM miradi huu unaanza tarehe 1.2.2024? Bado siku 10 TU!!🤣
 
Hakuna kitu kama hicho,hiyo itasalia ya makapuku
 
Unawezaje kutawala wananchi kwamiaka zaidi ya 60 usiwatoe kwenye dumbi la ufukara na umaskini na bado ukang'a ng'ania kuwatawala?

Lengo la kuwatawala ni nini!
 
Unawezaje kutawala wananchi kwamiaka zaidi ya 60 usiwatoe kwenye dumbi la ufukara na umaskini na bado ukang'a ng'ania kuwatawala?

Lengo la kuwatawala ni nini!
Nchi gani imewamaliza mafukara hapa Duniani? Wewe unaweza wamaliza?
 
Naona ndio wanafungua Zabuni saizi.Mpaka hapo signing ceremony itakuwa mwezi machi 2024.

View: https://www.instagram.com/p/C3AQLsNtDjT/?igsh=OXFjNW1lcTl2ZWcz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…