Kajunjumelle
JF-Expert Member
- Aug 13, 2024
- 220
- 239
Huu wa kumi na mbiliHuu ni mwezi wa 3 sasa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu wa kumi na mbiliHuu ni mwezi wa 3 sasa.
Kafulila nibTapeliAmesahau kuwa cheo chake ni chacutendaji sio siasa
Imefikia hatua gani sasa?Serikali Kupitia Kamishna wa Miradi ya Ubia PPP David Kafulila amesema ujenzi wa Barabara ya Kulipa njia 4 kutoka Kibaha-Morogoro ExpressWay iko katika hatua za mwisho za kumpata mkandarasi tayari Kwa kuanza Ujenzi mwezi February 2024.
Aidha hapo baadae ujenzi huo unatarajia kufika Dodoma.
===
Kamishna wa Ubia kati ya Sekta ya Umma na Binafsi, David Kafulila amesema mchakato wa ujenzi wa barabara ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro uko katika hatua za mwisho na kufikia Februari 2024, mkandarasi atapatikana.
Kafulila alibainisha hayo jana jijini Dar es Salaam wakati wa mahojiano maalumu yaliyofanyika jijini hapa.
Katika mahojiano hayo, Kafulila alisema tayari kampuni kadhaa zimeonyesha nia ya kujenga barabara hiyo ya kulipia kutoka Kibaha hadi Morogoro yenye urefu wa kilomita 130 kwa lengo la kupunguza msongamano.
My Take
Hongera sana Rais Samia Kwa kukimbiza mwisho bila Makelele.
Wale ambao Hawaoni Miradi Inayotekelezwa hakuna haja ya kuwaonesha uzuri sio wapigakura.
Mwananchi