Kafulila: UNDP imetoa orodha ya nchi 54 duniani zilizoelemewa na deni la Taifa. 25 zinatoka Afrika Tanzania haipo, tukope zaidi tujenge Uchumi zaidi

Hayo mamikopo huwa yanasamehewa tu fasta so tukope tu zaidi,
Beberu yuko hivi, hawezi kukopesha hela ikiwa hauna rasilimali za kutosha kuweza kufidia hela yake na huo mkopo anaokupa anajua huwezi kurudisha kwahiyo anajua atafidia wapi.
Pitia mikataba ya madini, gesi n.k ndiyo utajua beberu ana akili sana. Wananchi wake wanashida halafu aje akupe wewe hela halafu akusamehe. Ni mwendawazimu tu anaweza kuamini.
 
Hili chawa linataka kuwa kunguni sasa, mwenzake ally happi amekubaliana na Hali analima nyanya huyu tumbili sender akavue migebuka huko kigoma
 
Hili chawa linataka kuwa kunguni sasa, mwenzake ally happi amekubaliana na Hali analima nyanya huyu tumbili sender akavue migebuka huko kigoma
Kwani kuandika haya kunahitaji muda gani?
 
Nadhani Wewe hujaelewa vizuri

Jabali. Wewe unanitaka nizungumzie upande unaoutaka ambo unajribu kuonesha kuw deni letu linahimilika. Mimi ninazungumzia tu japo moja la 40% ya deni la Japan. Nimeelewa vizuri sana, nia yenu ni kushangilia fact kuwa deni si kubwa kwa kuwa hatuko katik nchi hizo 54! Mie nazungumzia mfano TU uliotolewa kwa Japan!

Usitake niwaze kama unavowaza wewe tafadhali. Tukubaliane kuwa tofauti!
 
Acha ujinga wewe,unaamini ngonjera za kisiasa!?Mjanja na mwenye akili hakopi.Mkopaji ni mtumwa wa akopeshaye na mtu mwenye akili hawezi kukubali kuwa mtumwa.
 
To me ni mjinga tu anaweza kukubali mkopo.
 
Acha ujinga wewe,unaamini ngonjera za kisiasa!?Mjanja na mwenye akili hakopi.Mkopaji ni mtumwa wa akopeshaye na mtu mwenye akili hawezi kukubali kuwa mtumwa.
Kopa lakini kwa kiasi na malengo. Truth is hakuna nchi duniani isiyokopa miaka hii, is how unwitumia mikopo kufikia malengo ya kujitegemea
 
Mikopo halafu haionekani imefanya nini cha maana na kwa viwango gani that’s the problem !

Kukopa sio tatizo kama uwajibikaji na uzalendo umetamalaki Nchini !!

Lakini Bongo upigaji umezidi hata CAG analijua hilo ndio maana watu wanakuwa na mashaka na hiyo mikopo !
 
Umenena ukweli kabisa !
👍👏
 
Sasa, si wamesema nchi zilizoelemewa. Haina maana kwamba wamekopa sana
 
Mimi nilidhani anasema ripoti ya 2023 au 2024. Anatumia ripoti ya 2022 iliyotumia takwimu za 2021? Halafu je amesoma mapendekezo kwenye ripoti hiyo yanasema nchi zizidi kukopa au ziangelie mwenendo wa ukopaji wake usije ukasababisha kukosa huduma muhimu za jamii kama afya na elimu? Kuna nchi baada ya kuzoea 'kukopakopa' sasa ziko kwenye 'debt distress' na kuna msemo kwamba 'aliyesimama aangalie asianguke' na kwa ushauri wa huyu mkuu ni kama vile kusema 'aliyesimama ajaribu kuanguka'.
 
expand...
Pamoja na kazi nzuri anayoifanya David Kafulila bado Watanzania wanahitaji kupewa Elimu ya kutosha juu ya mambo mazuri kama haya ,

Shida ya Watanzania ni Taarifa tu ndio hawana ndio maana unaweza ukadhani ni wakorofi kumbe hapana

Watu wengi tunaioenda sana CCM.
 
Samia mia mia
 
expand...
UNDP si Mali ya Tanzania Wala Chawa wa Samia.
===
Hongera sana ndg yangu Kafulila naona nia yako ni njema Mungu akupe tarajio la moyo wako,

Hakika unanisaidia CCM na Rais Samia na Serikali,

Unajibu hoja kwaakili na kwa staha sana,

Hakika Umebarikiwa sana ndg yangu.

Nafuatilia maandiko yako yote hata usiku huu,

#Ubarikiwe, Ubarikiwe Ubarikiwe X7
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…